kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Baada ya John Mnyika kuweka wazi namna Jeshi la Polisi na serikali walivyotumika kubambikia kesi Mbowe huku wakipeleka charge isiyo na sifa CCM kupitia Shaka wameparaganyika na kuanza kuitetea polisi, Mahakama na serikali.
Hatua hii inafuatia Mnyika kueleza utekaji aliofanyiwa Mbowe, ubovu wa hati ya mashtaka na uhusika wa viongozi wa CCM kwenye njama hiyo.
Aidha press ya Mnyika imeweka wazi njama ya msajili wa vyama kutaka kukifuta Chadema kwa maelekezo ya CCM na kwakutumia mbinu matumizi ya sheria iliyofanyiwa marekebisho na bunge kuhusu wanachama wa siasa kufanya vurugu.
Aidha, mtego wa kufutwa chadema unabainishwa na Chadema baada ya Kigogo kusisitiza waandamane Jambo ambalo lingewepa ccm nguvu kupitia msajili wa vyama kutekeleza adhma yao.
Njama hizi zinavuja siku chache baada ya vijana wa CCM kuvalia sare za chadema nakuitisha mkutano na waandiahi wa habari ambapo hata baada ya kufichuliwa kwa uovu huo msajili wa vyama alikaa kimya kuashiria alifahamu au anakubaliana na kitendo hicho.
Kwa Hali ilivyo upo uwezekano vijana wengi zaidi wa CCM wakaendelilea kuvaa sare za chadema na kufanya uhalifu kuthibitisha njama mbovu ya viongoz wa CCM dhidi ya CDm