Press Release TRA kuhusu VAT

mpiga domo

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
852
1,502
Habari za Asubuhi Wakuu,

Taarifa kutoka TRA zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutoa ufafanuzi kuhusu VAT je ni za kweli?

Mwenye taarifa za kweli atuambie.

Bandiko lenyewe hili hapa.
 
1468996963326.jpg
 
Ufafanuzi umetulia na umezingatia matakwa ya ukokotoaji wa kodi ya ongezeko la thamani.

TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU
 
TRA waache siasa katika mambo ya kitaalamu. Katika mfano waliotoa kwenye Press release, hiyo VAT ya TZS 180/- mwisho wa siku itakatwa kwenye balance yangu iliyoko bank, vinginevyo itabidi niilipe on Cash. Kwahiyo, TRA wanaposema 'customer deposits will not be affected' sio kweli.
 
Kama kweli ni 'maelekezo' yenye nia njema why should we hold patience!? ...why further issue guidelines!?
Ukishaona hivyo basi jua ni miluzi mingi tu kuwapoteza wadanganyika.
 
TRA waache siasa katika mambo ya kitaalamu. Katika mfano waliotoa kwenye Press release, hiyo VAT ya TZS 180/- mwisho wa siku itakatwa kwenye balance yangu iliyoko bank, vinginevyo itabidi niilipe on Cash. Kwahiyo, TRA wanaposema 'customer deposits will not be affected' sio kweli.
sio kweli. nchi hii ukisema hiki ukafanya kile hakuna wa kuuliza. chaji zimeongezeka kwa wateja na sio kama wanavyosema,
banki walitoza 1000 kwenye ada za shule. sasa ni 1180, vat imeongeza tozo za huduma!!...........
 
Sasa huo ndio ufafanuzi toka mwanzo na ndio mabenk walitolea maelezo? unajipiga chenga mwenyewe na kujifunga?
 
Press release mbona bado inajichanganya yenyewe! Malalamiko ya watu ilikuwa ni ongezeko la makato na ufafanuzi wa mwanzo ilikuwa kwamba mteja hataathirika na hilo ongezeko la 18% kwa sababu serikali iligundua kwamba mabenki yalikuwa hayalipi hiyo 18% hivyo ndo maana ikaanzishwa. Matarajio ya wengi ilikuwa kwamba kama walikuwa hawalipi hivyo makato kwa mteja yataendelea kuwa Tsh. 1000/= na benki itakatwa ile 18% ya Tsh. 1000/=. Sasa kwa ufafanuzi huu tunaoambiwa tuendelee kuvumilia wamehalalisha mabenki yaongeze makato kwa mteja ili alipe Tsh. 1180/= ili mabenki yakusanye hiyo Tsh. 180/= kwa niaba ya serikali. TRA wakbaliane na Gavana wa benki kwamba mabenki yalikuwa sahihi kuongeza makato, maisha yaendelee kuliko kukaa wanatupiga siasa utafikri wote sisi ni comedians!!
 
wakuu mwenye taarifa za ukweli atoe.

Hilo bandiko mimi nimeweka tu, kama ni kweli mtu athibitishe.

Na kama ni kweli kwanini TRA walisema siku ile kwenye press conference kwamba mteja hatachajiwa. Nakumbuka vizuri walisema Bank ndo watalipa hii VAT.

Sasa iweje watoe directive kwa Kiingereza kwamba mteja ndo alipe. Lugha yenyewe iliyotumika hata msomi kuielewa inahitaji uwe na dictionary karibu.
 
sio kweli. nchi hii ukisema hiki ukafanya kile hakuna wa kuuliza. chaji zimeongezeka kwa wateja na sio kama wanavyosema,
banki walitoza 1000 kwenye ada za shule. sasa ni 1180, vat imeongeza tozo za huduma!!...........
Hii ina maana kuna ziada ya Tshs. 180/= unapofanya miamala ya kibenki. Ina maana mshahara wako ukipitia benki utalipa kodi mara mbili! Kwa maana ya kodi ya mapato ya mshahara na kodi ya kufanya miamala ya kibenki!
 
TRA waache siasa katika mambo ya kitaalamu. Katika mfano waliotoa kwenye Press release, hiyo VAT ya TZS 180/- mwisho wa siku itakatwa kwenye balance yangu iliyoko bank, vinginevyo itabidi niilipe on Cash. Kwahiyo, TRA wanaposema 'customer deposits will not be affected' sio kweli.
Bank charges siku zote huwa zinakatwa kwenye salio lako; ulitaka wakakate wapi?

TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU
 
wakuu mwenye taarifa za ukweli atoe.

Hilo bandiko mimi nimeweka tu, kama ni kweli mtu athibitishe.

Na kama ni kweli kwanini TRA walisema siku ile kwenye press conference kwamba mteja hatachajiwa. Nakumbuka vizuri walisema Bank ndo watalipa hii VAT.

Sasa iweje watoe directive kwa Kiingereza kwamba mteja ndo alipe. Lugha yenyewe iliyotumika hata msomi kuielewa inahitaji uwe na dictionary karibu.
Bank watalipa VAT wakipewa huduma Benki kuu au Mabenki mengine. Lakini mimi na wewe tukipokea hudma benki ile tozo tutailipia VAT.

TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU
 
Hii ina maana kuna ziada ya Tshs. 180/= unapofanya miamala ya kibenki. Ina maana mshahara wako ukipitia benki utalipa kodi mara mbili! Kwa maana ya kodi ya mapato ya mshahara na kodi ya kufanya miamala ya kibenki!
Unatakiwa kufanya "Tax planning" kama ulikuwa unaenda kutoa pesa mara nne kwa mwenzi, andaa bajeti ya mwezi na ukatoe pesa mara moja kwa mwezi utaokea VAT ya miamala mitatu.

TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU
 
Back
Top Bottom