Elections 2010 Press conference ya Dr. Slaa kuhusu uchaguzi

Status
Not open for further replies.

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Wakuu punde Dr. Slaa ataanza mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu uchaguzi mkuu pale makao makuu ya CHADEMA Kinondoni, kwa wale mliopo huko tupeni update...
 
usijali nipo hapa makao makuu ya CHADEMA tayari kuwajuza yote yatakayo semwa juu ya uchakachuaji wa kura.
 
tupeni wadau, kusuhu hilo, ili tuelewe nini kinaendelea, kutoka kwa dr wa ukweli
 
Kwani huu Mkutano bado upo mbona jana kwenye Facebook yake alisema umeahirishwa kwasababu kuna mchakato unafanyika???
 
Wakuu punde Dr. Slaa ataanza mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu uchaguzi mkuu pale makao makuu ya CHADEMA Kinondoni, kwa wale mliopo huko tupeni update...
Be serious this is not something to joke with!
Source p/se!
 
umetumwa na mkwere mfuasi wa filosofi ya Mugabe

ndio amenituma niwafikishie ujumbe wananchi wake juu ya uchakachuaji mkubwa wa kura alioufanya hasa mikoa ya magharibi, kusini na visiwani ambapo Slaa anaushahidi tosha.
 
hawarushi laivu jamani?na ni saa ngapi? kwa sababu nipo tayari kutoingalia kipenzi changu arsenal ili nimshuhudie dr wa ukweli. naomba mwenye data jamani.
 
Jamani acheni utani tunasubiri hii kitu kwa uchu isije ika Dr. Slaa ni mtu wa porojo na sasa ametepeta ameamua kuingia mitini
 
el torro angalia ukurasa wa Dr kule FB kaka kuna hii msg

" Tungeweza vipi kuhudhuria kutangazwa kwa mshindi au kuapishwa kwa Rais ambaye ametangazwa katika mazingira ya wasiwasi na mchakato mzima? Hatuna tatizo binafsi na Kikwete au hata yeye kuwa Rais, tatizo letu la msingi kabisa ni kuwa mchakato wa utangazaji matokeo ulikuwa mbovu sana kutishia kuaminika kwa matokeo hayo. Kama Kikwete angeshinda kwa asilimia 99 au asilimia 50.01 kwenye mchakato ulio huru, wazi na wa haki tusingelalamika kabisa.

Hivyo, kama tungeshiriki kama watu wanavyopendekeza na kukumbatiana kama walivyofanya wengine tungekuwa tumetuma ujumbe kuwa hatuna matatizo na mchakato mzima wa matokeo. Tungehalalisha vitendo vya tume na watumishi wake kuvuruga uchaguzi.

Tulipanga kuzungumza na waandishi kesho, lakini imeahirishwa kwani kuna mchakato unaoendelea na ambao tunataka kuona utafikia wapi. Tunawasihi wanachama, mashabiki na wapenzi wetu waendelee kutulia wakati huu ili kutupa nafasi ya kuandaa mpango mzuri wa mwitikio wetu.
asanteni. "

source- FB page ya DR..
 
Wakuu punde Dr. Slaa ataanza mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu uchaguzi mkuu pale makao makuu ya CHADEMA Kinondoni, kwa wale mliopo huko tupeni update...
Watu wengi wewe ndiye muanzisha thread, kumbe ulikuwa na malengo yako.............too much ujanja

Jamani acheni utani tunasubiri hii kitu kwa uchu isije ika Dr. Slaa ni mtu wa porojo na sasa ametepeta ameamua kuingia mitini
 
Msihangaike wana Jf, humu kuna wazushi wanajaribu kuwapotezea muda mmoja wao ni huyo 'Burn' hawana lolote. Mkutano uliahirishwa.
 
Jamani hajanza tu hakuna watu wa kutuhabarisha kidogo kuwa Dr wa ukweli anaongea nini? mana tuna hamu sana kusikia mambo mazito

Mzee Gomezi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom