PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

Rais ndo kwanza kaanza kazi unaanza kuzungumza juu ya kustaafu!!! Ikifika 2034 uanze topics zako hizo, kwa sasa ndo kazi imeanza. Rais wa Russia Putin na wa Germany Merkel wameongezewa muda na ni wazungu na pia nchi za first world kwanini sisi tusiongeze muda? Third world country!
Merkel kabadili katiba lini? Mpaka mrithi wake kashapendekezwa atakapobwaga majanga mwaka huu.
 
Back
Top Bottom