Presidential Belivery Bureau Jobs

Mtokambali

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
216
91
Wadau napenda kuulizia kama kuna mwenye information za hizo nafasi ambazo zilitangazwa October hadi November. Ilionyesha kama walikuwa wanahitaji watu haraka....kwa anaejua kinachoendelea,je wameshatoa Shortlisted candidates?
 
Wana JF, naomba mnijuze kama PDB-PRESIDENT DELIVERY BUREAU wameita watu kwa intavyuu, ingawa zoezi hilo inaonekana linafanywa na deloitte.. tjulishane marafiki.
 
Kuna mtu kanipa habari kwamba wale waliokuwa shortlisted wataanza kuitwa tarehe 6 Januari kwamba walipisha sikukuu zipite, sijui kweli?
 
Kuna mtu kanipa habari kwamba wale waliokuwa shortlisted wataanza kuitwa tarehe 6 Januari kwamba walipisha sikukuu zipite, sijui kweli?
Hawa shortlisted waliwatangaza? yaani hiyo list wanayo wao tu au tayari wahusika wanajijua?
 
Hawa shortlisted waliwatangaza? yaani hiyo list wanayo wao tu au tayari wahusika wanajijua?

Hawajatangaza jina lolote,bali wamesema wakishamaliza mchakato wa kuwapata waajiriwa wote watatoa tangazo kwenye media.
 
ISIJE KUWA KAMA T P A WAMEPEANA NA HAWAKUWA NA SABABU YA KUSUMBUA WATU.
MKUU WA KAYA ANATAKIWA KUINGILia.....Walifanya...TPA, NHC,....NSSF, PPF AJIRA NI KIINI MACHO......
 
ISIJE KUWA KAMA T P A WAMEPEANA NA HAWAKUWA NA SABABU YA KUSUMBUA WATU.
MKUU WA KAYA ANATAKIWA KUINGILia.....Walifanya...TPA, NHC,....NSSF, PPF AJIRA NI KIINI MACHO......
Hii ya TPA Hata mimi iliniuma sana sana sana,TPA UNASHTUKIA TU ETI WAMESHACHAGUANA,NILIFIKIRI NI MIMI TU NDO NIMEONA HIYO KITU YA TPA.MBAYA SANA NA UTOVU WA NIDHAMU KUSUMBUA WATU.
 
Back
Top Bottom