President..!!

chopeko

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,528
1,107
yes president...!!!
 

Attachments

  • download_(41).jpg
    download_(41).jpg
    78 KB · Views: 1,193
ndio kilichompeleka?
Hadi akimaliza mda wake atakuwa na kabati kubwaaaaaa la picha
 
KWa mbinu hii, Taifa Stars itaingia 2018 Kombe la Dunia. Maana alikileta hii mbinu hapa Tanzania gooooo itafanikiwa tena sana sana, Lazima Ivory Cost wakae 2018. Hongera Raisi, Good Initiative!
 
huyu baba ananichoshaga akili jamani! sijui lini atatoka madarakani. kila akienda safari lazma nyumbani patokee majanga. sijawahi kuona mwaka uko mbali kama 2015. siku haziendi kabisa ili tumwondoe huyu jamaa.
 
He love kids, we all love kids. Hawezi kwenda nje bila kutembelea watoto...! Congrats Mr. President..!
 
Wadau niulize hii ni ziara ya kikazi ua matembezi?
Kama ya kikazi dah...................
Kama matembezi, kwani huyu amemaliza mbuga za kwetu?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom