President Uhuru Kenyatta hosting professors from Harvard Business at State House, Nairobi

Akili kubwa...
Akili kubwa siyo hii hapa?
908765.jpg
 
Magufuli anajifanya eti anabana matumizi kwa kutotembelea mabeberu kumbe ni kuzungumza Kingereza(English) kunamsumbua
Then unapata msee mwenye alitoka University juzi akisema Jpm ndiye baba yao na huyo jpm mwenye hawezi maliza sentence moja ya kingereza.
 
Uhuru na kingereza chake lakini anamiliki nusu ya ardhi ya Kenya! Na nyie mataahira mmekaa kimya tu,

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mimi hapa niko na shamba langu ndogo na niko na title deed, wewe ukiwa huku ni nini unaweza sema ni chako?? ata pahali utalala hiyo yote ni mali ya serikali chako ni chenye umevalia na chenye kiko ndani ya tumbo yko..
 
Sasa mnajivunia kitu gani kama familia ya Uhuru mmeacha imiliki ardhi yote yenye rutba huku nyie mkiachiwa ardhi kame isiyoweza kuotesha chochote? Ndio faida ya kujua kingereza hiyo?

Njoo huku Tanzania uone, raia wa kawaida lakini anamiliki maelfu ya ekari za mashamba yenye rutba na humo anaweka mifugo, mazao na vitu mbali mbali na huwezi kukuta selikali inamsumbua, sana sana itamsaidia kupata hati ya kumiriki kisheria.

Nyie bakini na hicho kingereza chenu.
 
Kuleni mashamba zenu kubwa.. sisi tunakulia kingereza chetu na vyakula kutoka mashambani zetu ndogo ndogo..
 
Wehu kweli nyie sijui mnawaza kwa makalio...ushawahi mwona rais wa china au uh
Jeruman au Urusi anahutubia kiingereza?

Magufuli anajifanya eti anabana matumizi kwa kutotembelea mabeberu kumbe ni kuzungumza Kingereza(English) kunamsumbua
 
Kuleni mashamba zenu kubwa.. sisi tunakulia kingereza chetu na vyakula kutoka mashambani zetu ndogo ndogo..
Yaani wakenya mlichofanya ni kubadili wakoloni tu....mmewekwa kwe reserve na kuzidishiwa madeni...mtakuja uzwa bila kujijua na vizungu vyenu
 
Hahahaha... Hivi unajua kama hapa Tanzania huwezi kukuta watu wanalia njaa? Kwenye tv zenu kila siku lazima tuone count angalau 2 wananchi wanalia njaa tena ile njaa kali hasa!

Zaidi ya 60% ya chakula mnachokula hapo kwenu kinatoka TZ au Uganda.
Hii yote imesababishwa na mabwanyenye kumiliki ardhi yote nzuri nzuri huku nyie raia maskini mkiachiwa ardhi ya kwenye mawe!

Je, hiyo ndio faida ya kingereza chenu?

Soon mchina anakuja kuwapiga madole kwa reli yenu ya kisasa isiyo na faida!
Yani Kenyata anaamua eti station ikakae karibu na shamba lake ambako hakuna watu, yote ni kwa manufaa ya mashamba yake makubwa anayimiliki.
Na nyie na kingereza chenu mmekenua tu meno.,!
 
Wa kwanza kujiuza atakuwa ni Uhuru na hakuna vile mtu anaweza akajiuza mwenyewe.

Kama ni sisi tuliwafunza hawa waChinese kingereza.. Ni wakoloni gani hao unasemea
 
Back
Top Bottom