President Teodor Obiang of Equatorial Guinea says 9 out of 13 Corona patients have been cured by Madagascar remedy

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
President Teodoro Obiang of Equatorial Guinea's just confirmed that 9 out of 13 persons recovered fully from Corona Virus after taking Madagascar COVID-19 Organic treatment.
1589090684883.png
 
Mbona hapa Tanzania wapo zaidi ya 100 waliopona hata bila dawa yoyote? Kwa hiyo Jiwe atangazie dunia kuwa dawa ya COVID-19 ni kutokuwapa dawa yoyote (self-limiting). Uchunguzi wa dawa unahitaji sayansi - kulinganisha waliopewa na ambao hawakupewa dawa.
 
Kati ya watu 10 wanaougua Corona 8 hupona wenyewe. Sasa huyo Rais wa Guinea anafikiri dunia nzima kila mtu ni fala kama yeye!
 
Back
Top Bottom