#COVID19 President Samia hires Tony Blair to help in the fight against COVID-19, and rebuild the country's reputation

Ila kuna njia nyingi za kula hela aise hawa washenzi wanafanya!

Kwahiyo hapo si atakuwa analipwa kwa kuteuliwa kuwa mshauri wake?

Kweli aliyenacho atazidishiwa, na asiyenacho hata kile kidogo alichonacho atanyang'anywa na kitapewa mbwa.
 
Mchawi mpe mtoto akutunzie

Hao mabeberu ndiyo wamebuni hiyo Corona

Ili kulinda uhai wake mwacheni mama aendelee na mipango yake kwa sababu hata yeye anapenda kuishi
 
Washauri wa Samia:
1. Mchengelwa: mkwe wake
2. Tony Blair
3. Mpango
4. Mwigulu
5. Kagame
 
Walianza kumuua Rais wa Burundi wakaja Tanzania

Kwahiyo mwacheni mama aendelee na mipango yake na yeye anapenda kuendelea kuishi
 
Kusoma pia uingereza katika harakati za ujana kwa hio utumwa na ushabiki maandazi wa age ile ndio madhara yake. Kingine anatumia international lobbying na personal image kwenye eneo hilo.
 
Marais wote waliojaribu kuipinga Corona kilichowapata mnakijua

Yule wa Madagascar hivi karibuni alinusurika kufa hata akalazimika kuondoa Baraza Zima la mawaziri
 
Walianza kumuua Rais wa Burundi wakaja Tanzania

Kwahiyo mwacheni mama aendelee na mipango yake na yeye anapenda kuendelea kuishi
Hahah kaka wewe ndyo nimekuelewa kuliko wote na nnaunga mkono hoja yako na kazi iendeleee
 
Bright idear Connection na trust mserereko fedha za covid wadau zenye mashariti nafuu.
Putin anasema nchi ikijiheshimu mataifa mengine yataiheshimu nchi hiyo. Ameongeza kuwa ni kukosa wekeledi kukodisha mtu kufanya kiitwacho usafi wa taswira ya nchi.

Ameyasema haya jana kwenye Valdava Discussion club, mjini Sochi, Russia.
 
Huyu Blair aliyetuuzia Rada ya Bei ya chini kwa Bei kubwa mpaka mawaziri wake wakajiuzulu na Sasa hivi Ana kashifa ya ufisadi kwao ndio atusaidie naamini hatuna rais
Umesema kitu. Hana maono. Vibaka kama tony blair wanakuja kumlaghai anaangukia pua wanapiga hela. Nimeona mama kama anawapapatikia hawa wakora bila kujua ni watu wa kuona fulsa kama tai 😂😂😂
 
Naililia sana nchi yangu, who is Blair kwa maendeleo ya taiga hili?

Tunawasomi wangapi tena wazalendo tunaoweza kusema wanaweza kazi anayopewa Blair? Ubinafsi na kudharau wasomi waliosomeshwa kwa kodi za watz ndio kinacho oneshwa na huyu mama.

Ni suala la muda tu, tutaelewa mbivu na mbichi.

TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA, NI KIONGOZI ASIYEJITAMBUA NA MPIGAJI NDIYE ANAEWEZA KUTUMIA MABILIONI KUMWAMBIA MZUNGU AMJENGEE NCHI YAKE.
 
Aisee - Sasa Waziri wa Mambo ya Nje anafutwa kazi maana kazi zake zinafanywa na TB. Na Waziri wa Afya naye kibarua kinaota nyasi? Maana uratibu wa Covid 19 sasa utafanywa na TB.

Hivi Mwl Nyerere, alijenga reputation ya Tanzania kwa kum-hire nani amsaidie? Labda siijui taarifa hii.
Nyerere aliwekwa madarakani Na waingereza. Alishapinduliwa Na majeshi. Shukrani yake waingereza wamesomba almasi Za mwadui Na wanafanya watakalo TZ.
 
Kama anathamini maisha yake kuliko vizazi vyetu hapamfai apishe wenye nia ya kujenga nchi ukicheka na nyani utavuna mabua tonny brair umefata nini ????? Mbona huna chako TZ
 
1.How much Sir (after receiving lordship from 'Her Majesty') Blair is being paid by our beloved President Samia?
2. Does Sir Blair receive earning from our Treasurer or from our Mama monthly salary?
3.How much Sir Blair pays as taxes to our TRA as well as the PAYE collection?
====
The answers of these questions will build more confidence from now on than the previous sessions of trusting our machinerie.
 
1.How much Sir (after receiving lordship from 'Her Majesty') Blair is being paid by our beloved President Samia?
2. Does Sir Blair receive earning from our Treasurer or from our Mama monthly salary?
3.How much Sir Blair pays as taxes to our TRA as well as the PAYE collection?
====
The answers of these questions will build more confidence from now on than the previous sessions of trusting our machinerie.
The engine is hit and it won't be resuscitated
 
Back
Top Bottom