Hivi kuna ujinga zaidi huo?! Hunijui, sikuji. sijawahi kufanya mijadala na wewe hata mara moja lakini unakurupuka from nowhere na kuanza lugha za kifedhuli.Kusema kwamba yeyote anayem-critise mama Samia ni mfuasi wa JPM huo ni utOpolo na inonyesha jinsi ulivyo na mahaba ya kijinga.
Kuwa na adabu... mtu mwenyewe unaonesha umeingia JF juzi tu hapa! Tuliomo humu muda mrefu tunafamiana mitazamo yetu!1!