President Paul Kagame... No escort.... No bodyguards... No paparazzi...

Pamoja na kumharibu lakini hawezi fanya huku (Tz) kuwe kama kule (Rwanda)....kule kuna wahutu na watusi...huku kuna WATANZANIA

Huku kuna wana ccm na wapinzani hiyo mbegu ya chuki iliyopandwa ikija kukomaa tutashuhudia maafa makubwa mno, Mungu epushia mbali tusifike huko.
 
28468604_1863058957088715_5752072413269007239_n.jpg


He is strolling with his wife, the first lady...

He is a simple man and the president of
Rwanda!
Jambazi bhana ww unafikir aliyempiga picha hyo ni nani?
Pia ujue kuwa hapo ni ndani ya compound hapo eneo zima lote hilo limekuwa chini ya ulinzi
 
Haiwezi kuwa hivyo mkuu mana kule kuna ukabila halafu huku kuna UCHAMA

Mkuu unaishi ughaibuni? Sasa hivi maccm yanawaona wapinzani kama maadui na wapinzani wanatekwa , wanauliwa, wanapigwa risasi na kila aina ya mateso, hii si dalili nzuri huko mbele ya safari.
 
Ngoja niende zangu Rwanda nikapate mchumba nibadilishe mbegu; hii ya Tanzania ni ya uvumilivu mno; na uvumilivu ukizidi inakuwa ujinga.
 
Kesho Pogba atakuwa anatembea pale kariakoo bila ulinzi wala paparazzi Huku amempakata mkono yule "mama mvumilivu"
Hawezi huyu, wote walio hukumiwa kwa hila huwa anaota wanamvuta masikio
 
Back
Top Bottom