President of Liberia, Ellen Johnson Sirleaf refused entry into Gambia

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
2,000
Ndege ya Rais wa Liberia, Bi. Ellen Johnson Sirleaf imekataliwa kutua nchini Gambia. Taarifa hizi zimethibitishwa na Waziriwa Mambo ya Nje wa Senegal akiongea na radio moja nchini mwake.

Ndege ya Bi. Sirleaf ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi(ECOWAS) imekataliwa kutua katika uwanja wa ndege wa Banjul.

Bado taarifa za kukataliwa kutua ndege hiyo hazijawekwa wazi lakini inadaiwa sababu yaweza kuwa ECOWAS inataka kuingilia kati mgogoro unaonukia baada ya Rais Yammeh kubadili kauli yake ya awali na kupinga matokeo ya uchaguzi yaliompa ushindi mpinzani wake, Adam Barrow.

=============================
1024x576_352020.jpg

Liberian President Ellen Johnson Sirleaf has been denied access to Gambia’s main airport, Senegal’s foreign minister said on independent radio on Saturday.

The plane of Sirleaf who is Chairperson of the Economic Community of West African States (ECOWAS) was not allowed to land at the Banjul airport according to the minister.

Reuters reports that even though the reason for the denial was unclear, as was the intended timing of the plane landing, ECOWAS had been hoping to play a role in creating a smooth transition of power in the Gambia.

This action is a reprehensible and unacceptable breach of faith with the people of The Gambia and an egregious attempt to undermine a credible election process and remain in power illegitimately.

This development is the latest twist to the country’s December 1 presidential polls which the incumbent Yahya Jammeh lost to businessman Adama barrow. Jammeh on December 9 announced that the elections will have to be rerun citing irregularities.

The African Union in an earlier statement described Jammeh’s move as ‘null and void’ urging him to ensure the smooth transition of power as a sign of respect for the will of the Gambian people. Senegal also condemned Jammeh’s position urging him to peacefully give up power.

United States and European Union deplore Jammeh’s U-turn

The EU described Jammeh’s ‘‘calling for new elections is unacceptable. It clearly goes against the outcome of the elections of 1 December.

‘‘The European Union strongly urges President Jammeh to fully respect the rule of law and will of the Gambian people as expressed on Election Day, to stand by his earlier acceptance of the results and allow a peaceful transfer of power to the new President of The Gambia,’‘ their statement was issued by Vice-President Federica Mogherini and Commissioner for International Cooperation and Development Neven Mimica.

The United States Department of State also issued a statement through Mark Toner, a deputy Department Spokesperson. The full text of the statement is as follows:

‘‘We strongly condemn President Jammeh’s December 9 statement rejecting the December 1 election results and calling for new elections. This action is a reprehensible and unacceptable breach of faith with the people of The Gambia and an egregious attempt to undermine a credible election process and remain in power illegitimately.

‘‘We call upon President Jammeh, who accepted the election results on December 2, to carry out an orderly transition of power to President-Elect Barrow in accordance with the Gambian constitution.

‘‘We call upon all institutions in The Gambia, including the elected leadership, the armed forces, religious leaders, political parties and civil society organizations to reject violence and peacefully uphold the will of the people that was expressed clearly through the ballot box.

‘‘The people have spoken and it is time for Gambians to come together to ensure a peaceful transition to President-elect Barrow,’‘ the statement concluded.

Source: kaironews.com
 
Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,416
2,000
View attachment 445060

Barbarosa Naomba maoni yako juu ya kinachoendelea Gambia.
 
Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,968
2,000
Uislamu unatufundisha kuheshimu maamuzi ya wananchi ilimradi hayapingani na mafundisho ya mwenyezimungu. Yahya jameh heshimu maamuzi ya wananchi.
 
Hansss

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,370
2,000
Mungu ibariki Afrika,wabariki viongoz wake.... ipo haja ya kuondoa hayo maneno maana toka tumeanza kuimba tz na nchi zingine zenye maneno kama hayo ninachoona ni kama laana kwa bara la afrika na pia kwa baadhi ya viongoz wake hivyo hakuna haja ya kuwa na beti km hizo ni mtazamo tu.
 
Invisble275

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
982
1,000
Ulevi wa madaraka ni ugonjwa mbaya sana...

Yahya Jammeh upo stage ya mwisho mwisho
Mkuu kumbe mtu ukishalewa huoni hata kama mwenzio wa mbele yako anaanguka shimoni wewe utajipa matumaini ya kupita tu. Huyu jamaa haoni kilichomkuta Bagbo kwa ushenzi kama huu leo hii anaangaika tu. Jeshi la Gambia analojivunia halina chochote watamuondoa kwa nguvu na atakabiliwa na mashitaka. Ndo maana mie siamini kabisa watu wanaojitanabaisha kuwa wanamjua Mungu. Huyu jamaa bure kabisa, yawezekana wa kwetu naye akayafanyaa haya
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,382
2,000
Sasa hao wanajeshi na wao si wamkamate tu kuepusha vita vya wenyewe kwa wenyewe
 
commentor

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
527
500
ambacho sijaelewa ni kwa nini Senegal ndio wanatoa taarifa ya tukio lililompta Rais wa LIBERIA nchini GHAMBIA??!
 
AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,009
2,000
Ndege ya Rais wa Liberia, Bi. Ellen Johnson Sirleaf imekataliwa kutua nchini Gambia. Taarifa hizi zimethibitishwa na Waziriwa Mambo ya Nje wa Senegal akiongea na radio moja nchini mwake.

Ndege ya Bi. Sirleaf ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi(ECOWAS) imekataliwa kutua katika uwanja wa ndege wa Banjul.

Bado taarifa za kukataliwa kutua ndege hiyo hazijawekwa wazi lakini inadaiwa sababu yaweza kuwa ECOWAS inataka kuingilia kati mgogoro unaonukia baada ya Rais Yammeh kubadili kauli yake ya awali na kupinga matokeo ya uchaguzi yaliompa ushindi mpinzani wake, Adam Barrow.

=============================
View attachment 445060

Liberian President Ellen Johnson Sirleaf has been denied access to Gambia’s main airport, Senegal’s foreign minister said on independent radio on Saturday.

The plane of Sirleaf who is Chairperson of the Economic Community of West African States (ECOWAS) was not allowed to land at the Banjul airport according to the minister.

Reuters reports that even though the reason for the denial was unclear, as was the intended timing of the plane landing, ECOWAS had been hoping to play a role in creating a smooth transition of power in the Gambia.

This action is a reprehensible and unacceptable breach of faith with the people of The Gambia and an egregious attempt to undermine a credible election process and remain in power illegitimately.

This development is the latest twist to the country’s December 1 presidential polls which the incumbent Yahya Jammeh lost to businessman Adama barrow. Jammeh on December 9 announced that the elections will have to be rerun citing irregularities.

The African Union in an earlier statement described Jammeh’s move as ‘null and void’ urging him to ensure the smooth transition of power as a sign of respect for the will of the Gambian people. Senegal also condemned Jammeh’s position urging him to peacefully give up power.

United States and European Union deplore Jammeh’s U-turn

The EU described Jammeh’s ‘‘calling for new elections is unacceptable. It clearly goes against the outcome of the elections of 1 December.

‘‘The European Union strongly urges President Jammeh to fully respect the rule of law and will of the Gambian people as expressed on Election Day, to stand by his earlier acceptance of the results and allow a peaceful transfer of power to the new President of The Gambia,’‘ their statement was issued by Vice-President Federica Mogherini and Commissioner for International Cooperation and Development Neven Mimica.

The United States Department of State also issued a statement through Mark Toner, a deputy Department Spokesperson. The full text of the statement is as follows:

‘‘We strongly condemn President Jammeh’s December 9 statement rejecting the December 1 election results and calling for new elections. This action is a reprehensible and unacceptable breach of faith with the people of The Gambia and an egregious attempt to undermine a credible election process and remain in power illegitimately.

‘‘We call upon President Jammeh, who accepted the election results on December 2, to carry out an orderly transition of power to President-Elect Barrow in accordance with the Gambian constitution.

‘‘We call upon all institutions in The Gambia, including the elected leadership, the armed forces, religious leaders, political parties and civil society organizations to reject violence and peacefully uphold the will of the people that was expressed clearly through the ballot box.

‘‘The people have spoken and it is time for Gambians to come together to ensure a peaceful transition to President-elect Barrow,’‘ the statement concluded.

Source: kaironews.com
hivi hayo madude yote aliyoyashika mkononi ni ya kuswalia, hahahahaha
 
ubinaadamukwanza

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
222
250
Kuna kitu kinaitwa "Regime change".

Kauli ya Bwana Obama mwaka jana akilihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa, alisema "Tutatumia diplomasia kwa nchi nyingine, na nchi nyingine, tutatumia majeshi yetu...".

Nini maana ya Demokrasia?

Mabadiliko ya kisiasa Afrika huwa yanatengenezwa na nchi za Magharibi. Pesa nyingi, njama tofauti na utaalamu wa hali ya juu hutumika. Kivuli cha Demokrasia hutumika. Magharibi wanataka "Tawala" zenye kulinda maslahi yao.

Inaendelea...
 
ubinaadamukwanza

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
222
250
Nini maana ya Demokrasia ya hapa barani Afrika.

Baada ya Israel kumsaidia Frederick Chiluba na kumuondoa Kenneth Kaunda madarakani, nini kilifuata baada ya hapo?

Tuliona jinsi mzee wetu, mzazi wetu, mwanaharakati, mzalendo, Mwafrika mwenzetu, mpiganaji Uhuru alivyodhalilishwa, hadhi yake kuvuliwa na hata kuwekwa chini ya ulinzi.

Sio Mwalim Nyerere ndio aliyeenda kumuona Bwana Nelson Mandela Afrika ya Kusini, na baada ya hapo kuruka na ndege mpaka Lusaka kwenda kuonana na Bwana Chiluba ili Mzee Kaunda kuachiliwa huru?

Tumesahau? Hii ndio Demokrasia ya nchi za Afrika.

Tukiviangalia vyama vya upinzani vya hili Bara la Afrika. Utamuona Frederick Chiluba, Mabutu Seseseko wa Zaire, Al Sisi wa Misri au Eid Amin wa Uganda.

Leo hii tuko kwenye harakati za kuurudisha Ubinaadamu kwenye Taifa letu. Ni sawa lakini...

Hapa Afrika yetu, kuna masuala hatuwezi kuyatiza katika hiki kivuli au wingu au viungo vya mfumo wa Demokrasia ikiwa ni pamoja na Ushoga au kuwapa Wapinzani madaraka ya kuendesha nchi zetu.

Ujumbe mzito kwa Chama Cha MapinduZi: Israel iko nchini. Chunga bega na miguu ya Chama chenu. Kuweni karibu na Mchina na Urusi awape data za Kiintelijensia juu ya njama za Israel.

Wakati majeshi ya Japan yakienda kufanya mashambulizi Pearl Habour huko Marekani, Ubalozi wa Japan huko Marekani ulikuwa unazungumza vizuri sana kuhusu Uhusiano mzuri baina ya Marekani na Japan. Lakini Japan iliivamia Marekani. Leo chama tawala cha Afrika Kusini sio wajinga kuwawekea mgomo baridi Israel. Kuwa na Israel nchini Tanzania, ni sawa na kufuga nyoka wenye sumu kali na kulala nao kwenye chumba kimoja.

Tuwache uonevu kwa waafrika wenzetu, Mwacheni Lema ale Xmas na familia yake. Huyo sio adui wa nchi yetu. Maadui wanajulikana.

Afrika tuweni macho.
 
Ntolonyonyo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,201
2,000
Huyu Yahya siku zake zinahesabika tu......kama kashindwa na analazimisha kukaa madarakan..why AU wasiweke vikwazo kwa huyu jamaa...??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom