#COVID19 President Of Croatia Zoran Milanovic: We Will Not Be Vaccinated Anymore

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
702
762
10.jpg
Rais Milanović wa Croatia aliulizwa siku ya jumatatu na mwandishi wa habari, Kwa nini kiwango cha uchan*jaji si cha juu kama
ilivyo kwa nchi nyingine za Umoja wa Ulaya.

Akasema:
“We will not go more than 50 percent, let them fence us with wire,” Milanović said in recent statements to the press. “I don’t care. We’re vaccinated enough and everyone knows it.”

“We need to know what the goal of this frenzy is. If the goal is to completely eradicate the virus, then we have the goal. I have not heard that this is the goal. If someone tells me it’s a goal, I will tell him he’s out of his mind.”

Maana yake:

“Hatutaenda zaidi ya asilimia 50, acha watuwekee uzio wa nyaya. Sijali. Tumeshachanjwa vya kutosha na kia mtu anajua."

"Tunahitaji kujua lengo la huu wazimu. Kama lengo ni kumaliza kabisa virusi, basi tutakuwa na lengo. Sijasikia kama hili ni lengo. Kama mtu ataniambia hili ndilo lengo, nitamwambia umechangayikiwa.”

...

CHANZO: "We Will Not Be Vaccinated Anymore" Says President Of Croatia Zoran Milanovic - GreatGameIndia

USIPOTAFUTA UKWELI WA MAMBO MBALIMBALI KWA JUHUDI ZAKO, WATU WATAKUTAFUTIA WALICHOPANGA.
 
Hawa viongozi waadilifu wapo wachache sana Dunia
Huku kwetu ikifika 2022 tuwe tumechanjwa 70%
 
Hawa viongozi waadilifu wapo wachache sana Dunia
Huku kwetu ikifika 2022 tuwe tumechanjwa 70%
Ndugu yangu hata 2025 ikifika 30% ya watanzania watakao kuwa wamechanjwa, napendekeza itolewe sadaka ya shukurani .
 
Hawa viongozi waadilifu wapo wachache sana Dunia
Huku kwetu ikifika 2022 tuwe tumechanjwa 70%
Ni kweli bado wapo japokuwa uovu unazidi kushika kasi zaidi. Mungu atusaidie watu wengi zaidi wazidi kufunguka ufahamu juu ya mambo yanayoendelea chini kwa chini
 
Hawa viongozi waadilifu wapo wachache sana Dunia
Huku kwetu ikifika 2022 tuwe tumechanjwa 70%
Sikuamini kabisa,yaani Sasa hata hiyo 1& ya Watanzania haijafika kwa waliochanjwa,au itafikia hatua mtu alienda kupima Malaria wanamrekodi Kama kachanjwa?
Yaani huyu mama lol.
 
Sikuamini kabisa,yaani Sasa hata hiyo 1& ya Watanzania haijafika kwa waliochanjwa,au itafikia hatua mtu alienda kupima Malaria wanamrekodi Kama kachanjwa?
Yaani huyu mama lol.
HIi vita ni ngumu sana bila kumwomba Mungu ni hatari tupu. Sababu ni kuwa wakubwa wa dunia wako tayari kupindisha ukweli kwa ili kuwapata watu kwa udi na uvumba. Kwa hiyo, unaweza kushangaa likaanzishwa lisheria tu kwamba kudungwa ni lazima kwa makundi fulanifulani kama walivyofanya uingereza, australia, zimbazwe, uganda, nk.
 
Mpumbavu Mmoja wa chadema alisema chanjo iwe ni lazima.
ndio tatizo la kuingiza siasa kwenye mambo ambayo hayana uhusiano na siasa. Hata mtaalamu anapojigeuza mwanasiasa naye hana tofauti. Mungu atusaidie.
 
Back
Top Bottom