President Obama: I firmly believe America is not as divided as some say

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,490
119,366
...he just uttered those words in Warsaw and I 110% agree with him on that.

Video will come shortly...

Lazima aseme hivyo

Yeye ni kingozi....
maneno yake yanachochea kitu
akiongea kitu negative atakichochea
so bora aongee kitu positive ili achochee hali hiyo
anachokifanya kinaitwa 'kuwa politically correct'
 
Look..what he said is what I'm seeing with my very eyes also.

And that's why I agree with him [and I'm far from being his fan and you know that].

The truth is America is not as divided.
 
Blacks siku zote wana complain kuhusu pilisi kuwa treat tofauti
nimetazama clips za David Chappele za zamani tu na alikuwa ana zungumza kuhusu
police walivyo tofauti kwa whites na blacks....

Unakumbuka issue ya yule Profesa anaitwa Gates..famous black scholar na polisi mzungu?
hadi Obama ikabidi awa invite white House?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Blacks siku zote wana complain kuhusu pilisi kuwa treat tofauti
nimetazama clips za David Chappele za zamani tu na alikuwa ana zungumza kuhusu
police walivyo tofauti kwa whites na blacks....

Siyo complaints zote ni valid. Kuna wengi tu ma criminals [ambao ni weusi] ambao nao hu complain. Ni asili ya binadamu kulalamika lalamika.

Malalamiko hayataisha hata iweje. Na malalamiko hayo hayamaanishi jamii ya Kimarekani kwa ujumla wake imegawanyika sana.

Kama kweli imegawanyika hivyo kwa nini sasa kuna weusi wapo kwenye jeshi la Marekani? Kwa nini kuna weusi wanaoiwakilisha Marekani kwenye Olympics na kwingineko?

Kama kweli jamii ya Marekani imegawanyika kihivyo hata huyo Obama leo hii asingekuwa rais maana Marekani wazungu bado ndo wengi na kwa jinsi wanavyochagua rais wao Obama asingeshinda kabisa majimbo kama Oregon, Iowa, Illinois, Washington, Minnesota, Wisconsin, na mengineyo ambayo wazungu ndiyo wako wengi zaidi.

Au angeshindaje hayo majimbo kama wazungu wa hayo majimbo wasingempigia kura kwa vile ni chotara?

Unakumbuka issue ya yule Profesa anaitwa Gates..famous black scholar na polisi mzungu?
hadi Obama ikabidi awa invite white House?

Look...ile issue ya Skip Gates ilikuwa ni misunderstanding ndogo tu lakini ikakuzwa.

Licha ya yote hayo...ni Wamarekani wachache sana, wa rangi zote, ambao wanatamani wa trade places na wewe au mtu mwingine wa nchi zingine kwa sababu Marekani bado ni nchi bora sana.
 
Siyo complaints zote ni valid. Kuna wengi tu ma criminals [ambao ni weusi] ambao nao hu complain. Ni asili ya binadamu kulalamika lalamika.

Malalamiko hayataisha hata iweje. Na malalamiko hayo hayamaanishi jamii ya Kimarekani kwa ujumla wake imegawanyika sana.

Kama kweli imegawanyika hivyo kwa nini sasa kuna weusi wapo kwenye jeshi la Marekani? Kwa nini kuna weusi wanaoiwakilisha Marekani kwenye Olympics na kwingineko?

Kama kweli jamii ya Marekani imegawanyika kihivyo hata huyo Obama leo hii asingekuwa rais maana Marekani wazungu bado ndo wengi na kwa jinsi wanavyochagua rais wao Obama asingeshinda kabisa majimbo kama Oregon, Iowa, Illinois, Washington, Minnesota, Wisconsin, na mengineyo ambayo wazungu ndiyo wako wengi zaidi.

Au angeshindaje hayo majimbo kama wazungu wa hayo majimbo wasingempigia kura kwa vile ni chotara?

Look...ile issue ya Skip Gates ilikuwa ni misunderstanding ndogo tu lakini ikakuzwa.

Licha ya yote hayo...ni Wamarekani wachache sana, wa rangi zote, ambao wanatamani wa trade places na wewe au mtu mwingine wa nchi zingine kwa sababu Marekani bado ni nchi bora sana.

Ni kweli USA bado maisha nni bora kulinganisha na nchi nyingi duniani
na ni kweli majority ya wamarekani hawana ubaguzi
but ukweli upo pia kuwa watu weusi wako more likely kuuwawa na polisi kuliko wazungu..
weusi halafu latino halafu ndo wazungu ikija kwenye nani hasa wako more likely kuuwawa na polisi....
 
Okay...hebu bofya hiyo link hapo chini halafu ulinganishe na ulichosema hapo.
http://www.washingtontimes.com/news/2015/apr/21/police-kill-more-whites-than-blacks-but-minority-d/
Police kill more whites than blacks, but minority deaths generate more outrage
 
Siyo complaints zote ni valid. Kuna wengi tu ma criminals [ambao ni weusi] ambao nao hu complain. Ni asili ya binadamu kulalamika lalamika.

Malalamiko hayataisha hata iweje. Na malalamiko hayo hayamaanishi jamii ya Kimarekani kwa ujumla wake imegawanyika sana.

Kama kweli imegawanyika hivyo kwa nini sasa kuna weusi wapo kwenye jeshi la Marekani? Kwa nini kuna weusi wanaoiwakilisha Marekani kwenye Olympics na kwingineko?

Kama kweli jamii ya Marekani imegawanyika kihivyo hata huyo Obama leo hii asingekuwa rais maana Marekani wazungu bado ndo wengi na kwa jinsi wanavyochagua rais wao Obama asingeshinda kabisa majimbo kama Oregon, Iowa, Illinois, Washington, Minnesota, Wisconsin, na mengineyo ambayo wazungu ndiyo wako wengi zaidi.

Au angeshindaje hayo majimbo kama wazungu wa hayo majimbo wasingempigia kura kwa vile ni chotara?

Look...ile issue ya Skip Gates ilikuwa ni misunderstanding ndogo tu lakini ikakuzwa.

Licha ya yote hayo...ni Wamarekani wachache sana, wa rangi zote, ambao wanatamani wa trade places na wewe au mtu mwingine wa nchi zingine kwa sababu Marekani bado ni nchi bora sana.
Mbona hata huyo mkuu wa polisi kama sikosei ni mweusi na kwenye maandamano niliona watu weupe pia!Kwa hiyo mimi siamini kama wako divided!
 
Soma vizuri nimesema more likely
sijasema wanaua more blacks than whites
more likely sababu blacks ni 12 percent tu ya population
wanaua wazungu zaidi sababu wazungu ni wengi
lakini ukiweka ratio ya percentage ya population blacks wako more targeted...

Okay, kwa hiyo kumbe unakubali basi kuwa wazungu wengi ndiyo wanauwawa na polisi kuliko weusi.

Binafsi sidhani kama blacks wanakuwa targeted ili wauwawe kwa makusudi.

Ndiyo, weusi wako asilimia 12 au 13 ya population lakini amini usiamini crime rates za kwenye black neighborhoods zinatisha...

Ushawahi kusikia black on black crime?

Weusi hao hao wanaolialia kuwa wanakuwa targeted na polisi ndo hao hao hukimbilia polisi kikinuka kwenye maeneo yao.

Kuna sehemu hata kusimamisha gari kwenye gas station niweke mafuta siwezi ng'o.
 
Mbona hata huyo mkuu wa polisi kama sikosei ni mweusi na kwenye maandamano niliona watu weupe pia!Kwa hiyo mimi siamini kama wako divided!

Oh yeah...Dallas watu kibao...Latinos, weupe, weusi...wote wamelaani vikali mauaji ya hao polisi na wamelaani vikali mauaji ya wale jamaa wawili.

Angalia tu hata kwenye ile memorial ya police cruiser....angalia wanaoenda kuweka maua utaona ni wa rangi zote.

Marekani haiko divided kama baadhi ya watu wanavyotaka kuaminisha.
 
Wee ngabu mpuuzi kabisa kutetea ubaguzi na kuita watu wanalalamika bila sababu, kuna sababu gani ya hao jamaa wawili weusi kuuliwa this week? watch video ya jamaa wa Louisiana ni unyama kabisa ule to pump 3 bullets in his chest nina uhakika ingekuwa mzungu asingepigwa zile risasi na jamaa wa MN same BS ni upuuzi mtupu na ubaguzi wa wazi kabisa na ngoja siku yakukute ndio utajua, can you imagine Trayvone Martin angekuwa white teenager na yule mshamba angekuwa black man nina uhakika ile kesi ingeisha in 2 seconds with blackman guilt,mimi niliwahi sue police kwa mambo yao ya kise nge na nikawashinda bigtime maana niliita police against this dude(white) mafala polisi walipokuja kitu cha kwanza and to my surprise nikawa detained na wakaniweka nyuma ya gari yao nikabisha na nikawaambia siingii its me who called them kwa nini wasinisikilize wanamsikiliza yule criminal basi ikawa struggle na mimi sikukubali later wakajidai kunifungulia mashtaka resisting arrest na upuuzi kibao ila to make story short nili counter ile na nikawashinda vibaya sana in every way possible na Judge aliwapa stern warning,sasa kama ule haukuwa ubaguzi ni nini?
 
Man GTFOH....wapi nimetetea ubaguzi wa rangi we kenge?

Onyesha....la sivyo kanye ukalale huko.
 
Namuona ndiyo anaaga-aga mkutano. Baadhi ya Mapipa ya Jeshi na vifaa vyake vimeshanyenyuka kitambo kwenda Spain na nadhani anavutavuta muda ili madude yatue kabla hajaondoka kwenda huko.

Jamaa walishaanza kumpigia makofu akawaambia "msipige makofi sijamaliza."

Kuwa Rais ni kazi ngumu sana maana inabidi ujiweke katikati. Huku uwatetee Wazungu Polisi Wazuri na Wazungu Wazuri kwa ujumla na huku uwatetee wanaouawa ambao wengi ni weusi wenzako. Ila kwa namna amekiri kuwa ubaguzi upo na haujaisha ingawa anasema kwa kutumia Data za watu waliofanya uchunguzi.

All in all, inabidi kumpa hongera kwa kazi aliyoifanya kwa miaka hii 8. Jamaa anajua kuongea si mchezo.
 
Hakuna mtu anayekataa kwamba ubaguzi haupo. Au kuna anayekataa? Kama yupo nitajie.

Ubaguzi ni asili ya binadamu. Hata Tanzania ubaguzi upo.

Lakini mimi binafsi naamini idadi kubwa ya watu walio wengi si wabaguzi.

Kama kweli wazungu wote wangekuwa ni wabaguzi basi hata huyo Obama asingekuwa na walinzi wazungu ambao wako tayari kufa wao kwanza ili yeye apone.

Kama kweli wazungu wote ni wabaguzi basi hata mama yake mzazi na huyo Obama naye ni mbaguzi wa rangi, siyo?
 
Back
Top Bottom