President Nkurunziza ‘to fight’ African peacekeepers imposed on Burundi

Cicadulina

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
974
2,366
Burundi’s President Pierre Nkurunziza threatened on Wednesday to fight any African Union peacekeepers imposed on his country, Reuters reported. “Everyone has to respect Burundi borders,” Nkurunziza said on state radio. “In case they violate those principles, they will have attacked the country and every Burundian will stand up and fight against them.” Meanwhile, the African Union on Wednesday threatened to sanction Burundi’s rival factions if they failed to attend peace talks next month, as it pushes the government to accept a peacekeeping force, AFP reported. The unrest in the tiny central African nation has raised fear of a return to all-out war, nine years after the end of a civil war.
 
Burundi issue is more than a mare act of clinging into power....watatue kwanza tatizo.

Hata hivyo Burundi haijaendelea ipasavyo ndani ya Nkurunzinza, angekuwa kama Kagame mbona wananchi wangemwacha tu aendelee.
 
Huyu jamaa ni bora siku ile tungempiga tu pini asirudi kwake
maana sasa "ameota mapembe"
 
kivipi mkuu, mbona sisi kama tuna fanya jitihada za kuyakata hayo mapembe
afu wewe unasema tunaunga mkono, fafanua tafadhari.

Ndio mlimrudisha madarakani na bado Tz inamchukulia Nkuruzinza kama rafiki wa dhati beada ya Kenya, Uganda na Rwanda kugeuka Tz na kuanzisha umoja wao ndani ya EAC
 
Hapana mkuu, sisi tulimrudisha kwa wema tu kwani tusije "kukamatwa na ngozi"
 
Burundi’s President Pierre Nkurunziza threatened on Wednesday to fight any African Union peacekeepers imposed on his country, Reuters reported. “Everyone has to respect Burundi borders,” Nkurunziza said on state radio. “In case they violate those principles, they will have attacked the country and every Burundian will stand up and fight against them.” Meanwhile, the African Union on Wednesday threatened to sanction Burundi’s rival factions if they failed to attend peace talks next month, as it pushes the government to accept a peacekeeping force, AFP reported. The unrest in the tiny central African nation has raised fear of a return to all-out war, nine years after the end of a civil war.
Binafsi namuunga mkono Nkurunzinza. Haiingii akilini taifa huru liingiliwe na majeshi toka nchi za kigeni wakati taifa lina mipaka na jeshi lake, tena bila ruhusa. Kiuhalisia huu utakuwa uvamizi. Kama wanataka 'peace keeping' kweli basi wapeleke wanadiplomasia, si kupeleka majeshi na silaha. kama warundi wenyewe wanajisikia majeshi yao yanajitosheleza base waachwe na uhuru wao, hawajaomba msaada
 
I doubt if the stance that has shown by President Pier Nkurunzinza can bear fruit. We're tired of

accommodating mass of Burundian Refuges. I suggest to AU -Leaders to Continue insisting on

Peacekeepers Deployment on the soil of Burundi so as to stop refuges influx in neighboring

countries.
 
Binafsi namuunga mkono Nkurunzinza. Haiingii akilini taifa huru liingiliwe na majeshi toka nchi za kigeni wakati taifa lina mipaka na jeshi lake, tena bila ruhusa. Kiuhalisia huu utakuwa uvamizi. Kama wanataka 'peace keeping' kweli basi wapeleke wanadiplomasia, si kupeleka majeshi na silaha. kama warundi wenyewe wanajisikia majeshi yao yanajitosheleza base waachwe na uhuru wao, hawajaomba msaada
Waachwe waandelee kuuwana sio?
 
Chukulia kauli ya mstaafu wetu siku chache kabla hajakabidhi kule Ulaya na kinachoendelea Burundi na Rwanda halafu utafakari kidogo
nikumbushe mkuu, maaana kulijili matukio mengi kabla ya kupanda zake helkopta na kuelekea makazi mapya.
 
Waachwe waandelee kuuwana sio?
Mwaka 1994 walikuwa wapi? sasa hivi hawauani, ni vurugu tu zinatokea hata ulaya. tatizo vyombo vya habari vinakuza mamba na raia wanakimbia kuhofia yaliyotokea 1994. Hata hivyo, wakiuana kama jeshi toka nje litaingia itabidi liunge mkono serikali iliyo madarakani na wala si vinginevyo. sasa kama serikali haitaki kuna haja ya kulazimisha?
 
nikumbushe mkuu, maaana kulijili matukio mengi kabla ya kupanda zake helkopta na kuelekea makazi mapya.

Kama sikosei ni Uswiss alipowaambia waafrika waachwe hata kama inatokea wamebadili katiba kwani wanajua ni nani anayewafaa na hii ilikuwa ni kujibu hotuba ya Obama kule Adis ababa
 
Duuuu.....hii kali, sasa alicho kinena kimetokea.
 
Ndio mlimrudisha madarakani na bado Tz inamchukulia Nkuruzinza kama rafiki wa dhati beada ya Kenya, Uganda na Rwanda kugeuka Tz na kuanzisha umoja wao ndani ya EAC

..Tanzania tulimuita Nkurunziza kwa ajili ya mazungumzo ya amani.

..sasa alipokuwa hapa wenzake huko Burundi wakampindua.

..jaribio lile lingefanikiwa, heshima ya Tanzania ingeporomoka kwa kiasi kikubwa sana.

..machoni mwa supporters wa Nkurunziza ingeonekana Tanzania imeshiriki mpango huo wa mapinduzi.

..zaidi ukumbuke kwamba kipindi kile ilikuwa ni kabla uchaguzi haujafanyika. hivyo Nkurunziza bado alikuwa ni kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia na anayetambulika na sheria zote za kitaifa na kimataifa.

..kwa sababu AU haitambui mapinduzi ya kijeshi, na kwasababu Tanzania ni mwanachama wa AU, basi ilikuwa ni lazima tufanye kila njia ya kuhakikisha Nkurunziza anarudi Burundi na kuendelea kuwa madarakani. Again, wakati wa mapinduzi yale Nkurunziza alikuwa ni Raisi aliyechaguliwa kidemokrasia.

NB:

..Hili tukio la Nkurunziza kupinduliwa linakumbusha tukio la Dr.Apolo Milton Obote kupinduliwa na kuja kuishi hapa Tanzania.
 
Sasa ukubali ukatae jeuri yote ya huyo bwn ni Tz
 
Back
Top Bottom