President ngabu n, tolea ufafanuzi swala hili

usifanye mchezo aisee 'import' inaposema iliolewa na marekani na sio wewe 'importer' halafu wala haikuachi na kuifukuza au kuilazimisha huwezi maana nchi za watu zina zero tolerance ya mfumo dume wa aina hiyo - ni kulia na kusaga meno tu !

Hahahaha. . . Poleni sana. Ila hata kama wewe ndie 'importer' akipata wa mjini wakamjaza kiburi, jeuri na dharau ndio imekula kwako. Anakwambia kabisa 'we mshamba sio saizi yake'.
 
Hapo itakuwa bomba sana....

Na ujumbe ufike kwa SteveDii pia.....juzi nilimuona nae alinogesha mazungumzo hayo

yaani ushaunguza picha ngoja nikatafute hizo posti zake nami nijionee, ila aisee, we acha tu, mlimani ilikuwa na...
 
Back
Top Bottom