President Museveni suspends use of public transport as coronavirus cases in Uganda rise to 14

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
893
1,000
Rais Yoweri Museveni amesema kuwa katika kupambana na #Covid_19 wanasitisha usafiri wa Umma zikiwemo Daladala, taksi, bajaji na bodaboda kwa siku 14

Usafiri utakaoruhusiwa ni binafsi tena wasipande zaidi ya watu watatu na dereva akiwa amejumuishwa kwenye idadi hiyo

Magari mengine yatakayoruhusiwa kutembea ni magari ya mizigo na yale yanayofanya ‘delivery’ na yakiwa yamebeba bidhaa muhimu kama chakula. Hata bajaji na bodaboda kama zitabeba mizigo muhimu kama chakula zitatuhusiwa

Magari mengine yatakayoruhusiwa kufanya kazi ni magari ya Jeshi, Zimamoto na Polisi, magari ya kuzoa taka na baadhi ya magari ya idara za Serikali kwa ajili ya kufanya kazi za jamii
------

Ugandan President Yoweri Museveni has suspended the use of public transport to prevent the spread of the coronavirus in the country.

The directive which takes effect immediately will last for 14 days and will affect taxis, buses, passenger trains, tricycles and boda bodas.

“All public means of transport have been suspended for 14 days. This includes taxis, buses, passenger trains, tricycles and boda bodas. Only private means will be allowed. Private cars will only be allowed to carry not more than three people,” said Museveni.

He issued the directive, in a national address, where he announced confirmation of five new coronavirus cases bringing the total to 14.

Citizen
 

The Transporter

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,886
2,000
Kudadadadeki Huyu corona anazingua sana aisee wengi baada ya yeye kupita tutajifuta vumbi na kuanza maisha upya na ile biashara ya ujima ina kuja ilikuwa maarufu kwa jina la Barter trade hasa kwa sie masikini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom