President Magufuli: We are rich, but we don't believe in ourselves as rich. Grants are misleading Africa

We ni tajiri, mbona madeni ya taif yanapaa? Tumia utajiri wetu tuondokane na riba!
 
Kamuambie maneno hayo yule kijana mwenye uhitaji lakini kakosa mkopo wa chuo. Walimu wanadai. Hata baadhi ya vyuo vikuu wahadhiri hawavumi lakini wanaidai hii serikali kwa muda mrefu wengine wakifariki bila kulipwa na wanaishi kwa matumaini labda siku moja watalipwa.
 
Umenielewa. Huyu mtu wa ajabu kabisa. Wafanyakazi mwaka wa nne hawajapandishwa mishahara, halafu mtu eti sisi ni tajiri, ananunua ndeg... rubbish
 
Comments kwenye hii video, Waafrika kutoka nchi mbali mbali wanamkubali sana Magufuli.

Mugufulication of Africa.
Africa is working again through Magufuli!

Dalili ya kujisahau ukiwa kiongozi maisha mazuri, hela kibao kila unachotaka unapata unaona kama wewe ni tajiri tayari na nchi nzima tajiri wakati asilimia 70 hawana uhakika wa mlo moja unawaambia wao ni Matajiri wakati wewe upo kwenye v8 full ac wenzio wamevaa kandambili zina tobo na masweta yameisha upande moja. Kuwadanganya watu matajiri wakati wanajijua maskini huo ni utapeli wa hali ya juu. Swala la nchi kuwa tajiri siyo hoja ya kuwadanganya watu. Nchi inaweza kuwa tajiri lakini asilimia moja ndo wamehodhi utajiri kama equitorial Guinea. Ishu siyo nchi kuwa tajiri kila mtu anajua nchi ina utajiri hata nchi ya congo ina utajiri. Cha muhimu ni watu kuwa matajiri siyo nchi. Finland haina utajiri wa madini kama wanayojitambia viongozi wetu ila wananchi ni Matajiri. Ni bora kuwa matajiri wa watu siyo vitu ambavyo wanufaika ni wachache ambao ni hao viongozi.
Mwananchi wa kawaida hausiki katika kugawa mikataba ya kuchimba hayo madini wala hahusiki kwenye matumizi ya mapato ya hayo madini, wala haambulii huduma bure za matibabu kutokana na pesa za hayo madini bali ni viongozi ndo hunufaika na rushwa kwenye mikataba ya madini na ni viongozi ndo wananufaika na matibabu ya bure ndani na nje ya nchi kwa fedha za mauzo ya hayo madini, kwaiyo tuache utapeli wa kuwalisha wananchi ndimu za utajiri wa madini wakati wanufaika pekee ni hao viongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli is very right.
 
Kubalini, he is right, again...
Wasiomuelewa huyu Mzee itawachukua miaka mingi sana kujua kama nchi tunahitaji nini ili tusonge mbele, Huyu Mzee sio wa kawaida, demokrasia tupa kuleeee, hakuna wala haijawahim kuwepo popote duniani, ni propaganda tu za kututawala na kutawala wajinga wachache.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom