Mkuu Nahisi umekosea kuniquote..... Sikuongelea chochote kuhusu ripoti ya CAGNdugu nilichokielewa sio 1.5 t imekosa majibu jiulize ukaguzi huu limitation take ilkuwa ni nini maana yeye alkuwa anaangalia badgeti kwa iyo ela iliyotumika nje ya badget haikuwa considered mf.ela ya kununulia ndege, madeni yaliyolipwa ambayo hayakuwa kwenye badgeti Kwa mwaka huu
Kwa Africa it is OK, hata Amin Idd aliwahi kupata tuzo na kuwa mwenyekiti wa OAU (noe AU). It is no wonder kumpa wa kwetu!Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametuzwa tuzo ya Uongozi Bora katika tuzo za 'Africa Prestigious Award' kwa mwaka 2017/18
Utoaji wa tuzo hiyo ulifanyika Jumamosi Aprili 14, 2018 jijini Accra, Ghana.
Tuzo hiyo inawatambua Waafrika waliofanikiwa kwa kiasi kikubwa katika uongozi wao na Viongozi bora wajao katika bara la Afrika na viongozi waliofanya kazi kubwa kubadili maisha ya wananchi kwa kukuza uchumi
View attachment 746322
Sina haja ya kueleza, kila kitu kinajieleza hapo. Hongera sana Rais wetu mpendwa JPM. Africa inakutambua na Dunia pia inakutambua.
---------------
Tanzanian President John Magufuli has won in the maiden edition of the 2017/18 Africa Prestigious Award on the category of “Excellency in Leadership.”
The announcement was revealed at a gala night award ceremony held on Saturday 14th April, 2018 at the Accra’s A.H Hotel, 43 Kinshasa Crescent, East Legon.
Other categories included achievements in music, film media, technology and business sectors where several high profile artists, political and business people across Africa won in several categories.
“It is a great honour for the United Republic of Tanzania. President Magufuli is on his third year in office and the people of Tanzania are so happy and excited about his Presidency. His excellent service and hard work have led into an economic revolution in a positive way,” said a representative from Tanzania who received the award on behalf of the President.
The excellence in leadership award recognizes an Africans who are “Super Achievers, Achievers and Future Leaders On the Continent” and who are doing or have done austerity measures in transforming the lives of the people or sectors they lead by boosting economy, innovation as well as fight against corruption. Voting was open for viewers all over the Continent and beyond.
The event included 375 nominees in diverse African sectors, 24 Prestigious Awards and 37 Honorary Awards. Under the Honorary category some other top notch Africans including Ministers, Ambassadors, First Ladies and business moguls have also won.
More details and winners on the awards will be posted on: www.theapa.eadgoc.com or follow the event official hash tag [HASHTAG]#apawards2017[/HASHTAG]
Source: President Magufuli, Ethiopia Diplomat, Ghana First Lady Win Africa Prestigious Awards
Hahaha, anashindanishwa na akina Ray Kigosi na Monalisa? Aisee mnapenda sana kumdhalilisha jamaa yenu...na lenyewe likiambiwa limeshinda linachekelea tu!*Breaking News kutoka Accra, Ghana*
Rais Magufuli amewabwaga viongozi kadhaa wa Afrika na kushinda tuzo ya "Excellence in Leadership."
Viongozi wengine walioshinda tuzo za heshima yumo Mke wa Rais wa Ghana, Mabalozi na wasanii.
Wapo wasanii wawili pia wa Tanzania wamepata tuzo akiwepo Monalisa.
Hongera Rais wetu.Dunia na Afrika inatambua kazi yako njema.
Taarifa ya kina hii hapa:
President Magufuli, Ethiopia Diplomat, Ghana First Lady Win Africa Prestigious Awards