President Magufuli, Ethiopia Diplomat, Ghana First Lady Win Africa Prestigious Awards

Sumti

JF-Expert Member
Jan 30, 2016
1,673
2,000
Sina haja ya kueleza, kila kitu kinajieleza hapo. Hongera sana Rais wetu mpendwa JPM. Africa inakutambua na Dunia pia inakutambua.


---------------
Magufuli.png


Tanzanian President John Magufuli has won in the maiden edition of the 2017/18 Africa Prestigious Award on the category of “Excellency in Leadership.”

The announcement was revealed at a gala night award ceremony held on Saturday 14th April, 2018 at the Accra’s A.H Hotel, 43 Kinshasa Crescent, East Legon.

Other categories included achievements in music, film media, technology and business sectors where several high profile artists, political and business people across Africa won in several categories.

“It is a great honour for the United Republic of Tanzania. President Magufuli is on his third year in office and the people of Tanzania are so happy and excited about his Presidency. His excellent service and hard work have led into an economic revolution in a positive way,” said a representative from Tanzania who received the award on behalf of the President.


The excellence in leadership award recognizes an Africans who are “Super Achievers, Achievers and Future Leaders On the Continent” and who are doing or have done austerity measures in transforming the lives of the people or sectors they lead by boosting economy, innovation as well as fight against corruption. Voting was open for viewers all over the Continent and beyond.

The event included 375 nominees in diverse African sectors, 24 Prestigious Awards and 37 Honorary Awards. Under the Honorary category some other top notch Africans including Ministers, Ambassadors, First Ladies and business moguls have also won.

More details and winners on the awards will be posted on: www.theapa.eadgoc.com or follow the event official hash tag [HASHTAG]#apawards2017[/HASHTAG]

Source: President Magufuli, Ethiopia Diplomat, Ghana First Lady Win Africa Prestigious Awards
 

for life

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
2,584
2,000
*Breaking News kutoka Accra, Ghana*

Rais Magufuli amewabwaga viongozi kadhaa wa Afrika na kushinda tuzo ya "Excellence in Leadership."

Viongozi wengine walioshinda tuzo za heshima yumo Mke wa Rais wa Ghana, Mabalozi na wasanii.

Wapo wasanii wawili pia wa Tanzania wamepata tuzo akiwepo Monalisa.

Hongera Rais wetu.Dunia na Afrika inatambua kazi yako njema.

Taarifa ya kina hii hapa:

President Magufuli, Ethiopia Diplomat, Ghana First Lady Win Africa Prestigious Awards
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,817
2,000
Magufuli ni chaguo la Mungu asiyemtaka aende syria au iran
Ndio jibu ya zilipokwenda trillion 1.5? Na huko Syria au Iran rais wao anatumia tu bila kukaguliwa na kuruhusiwa na bunge?
Kwa taarifa yako tu na wengine wa aina yako ni kuwa kule Iran nidhamu ya pesa za umma ipo juu mno na ikithibitika umetumia kifisadi adhabu yake ni kifo!
Huko kwenu ni kushangiliwa kwa kwenda mbele. Amka wewe acha kushangilia ubadhirifu!
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,292
2,000
Magufuli ni chaguo la Mungu asiyemtaka aende syria au iran
Lini tena hii!!?
Bravo my President JPM
Bravo my lovely country Tanzania
Good for our President and Good for our Country.
UFIPA tulizeni MAKALIO kasindano kaingiemo
Hahhahaha ila watanzania tuna kazi kwelikweli...
Akisifiwa mnasema dunia nzima inamheshimu ila akikosolewa na hao hao walioandaa tuzo mnakimbilia kusema wana chuki sababu kabana mirija yao ya ufisadi kwenye madini

Dah kazi tunayo
 

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,394
2,000
fateni link hiyo ya lumumba fc ili mkamatwe kwa amani bwana.
 

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,240
2,000
Alafu uache kumkufuru Mungu..... Huyo ni chaguo la CCM maana Mungu hawezi mchagua mtu ambaye ni mkatili kama yeye kwanza anaamini katika nguvu za giza Mungu atamchaguaje mtu kama yeye

Tunaweza kuwa na mahaba ila tusivuke mipaka huko ni kumdhalilisha Mungu.... Yaani amchague mtu kma Huyo dikteta?? Seriously??
Ndo chaguo la Mungu hapa kataa kubali uamuzi ni wako na haubadili kitu
 

crocodile

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,338
2,000
Alafu uache kumkufuru Mungu..... Huyo ni chaguo la CCM maana Mungu hawezi mchagua mtu ambaye ni mkatili kama yeye kwanza anaamini katika nguvu za giza Mungu atamchaguaje mtu kama yeye

Tunaweza kuwa na mahaba ila tusivuke mipaka huko ni kumdhalilisha Mungu.... Yaani amchague mtu kma Huyo dikteta?? Seriously??
Acha kupaniki. Mkuu wewe ndio msemaji wa Mungu?
Kwa habari hii naona huko kwenye Kibanda umiza cha kinondoni ni full vidonda vya tumbo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom