President Magufuli ends visit

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,776
78,447
President Magufuli ends visit

By Vision Reporter

Added 11th November 2017 07:59 PM

Presidents Magufuli and Museveni commissioned the Mutukula One Stop Border Post that will facilitate easy movement and management of persons and goods across the two countries.

Magufuli-703x422.jpg

PIC: Tanzania President John Pombe Magufuli being seen off by Uganda's Vice-President Edward Ssekandi today

MAGUFULI IN UGANDA

Tanzania President John Pombe Magufuli has ended his three-day State visit to Uganda during which, together with his counterpart President Yoweri Museveni, they were involved in a number of activities.

On his arrival in Uganda, the two Presidents commissioned the Mutukula One Stop Border Post that will facilitate easy movement and management of persons and goods across the two countries. The two leaders also signed a bilateral agreement.

They further commissioned the construction of the proposed 1,400km East African Crude Oil Pipeline to run from Hoima district to the India Ocean port of Tanga in Tanzania.

President Magufuli, who was on his first State visit to Uganda, today held discussions with President Museveni at the Golf Course Hotel in Masaka, before departing for Tanzania.

Magufuli, who was accompanied by his wife Janet Magufuli and several Government officials, was seen off at Mutukula Border Post by the Ugandan Vice-President Edward Ssekandi and senior government officials.

President Magufuli ends visit
 
Afadhali sasa arudi zake Dar akatulie na kuendelea kuwatesa wadanganyika wenzie, maana hii ziara yake ya Uganda imekuwa zero kabisa. Kiingereza chake kibovu na kauli zake tata zimeharibu kabisa ziara yake.

Sasa ndio nimeamini kuwa, urais alisukumiziwa, hakuandaliwa, hakujiandaa na hakufaa.
 
Something sinister going on...A Head of State being seen off by the Vice President?
 
Afadhali sasa arudi zake Dar akatulie na kuendelea kuwatesa wadanganyika wenzie, maana hii ziara yake ya Uganda imekuwa zero kabisa. Kiingereza chake kibovu na kauli zake tata zimeharibu kabisa ziara yake.

Sasa ndio nimeamini kuwa, urais alisukumiziwa, hakuandaliwa, hakujiandaa na hakufaa.

Heheheh!! Duh... Subiri wale jamaa wa buku saba watakukuta, hapatakalika hapa, utakimbia.
 
Afadhali sasa arudi zake Dar akatulie na kuendelea kuwatesa wadanganyika wenzie, maana hii ziara yake ya Uganda imekuwa zero kabisa. Kiingereza chake kibovu na kauli zake tata zimeharibu kabisa ziara yake.

Sasa ndio nimeamini kuwa, urais alisukumiziwa, hakuandaliwa, hakujiandaa na hakufaa.
Lugha si tatizo ungeangalia pia amesainisha miradi mingapi!
 
Nataka mjue jinsi jamaa anavyowafinya! Hatanii! Ati majuzi mlisaini MOU ati Uganda I-commit cargo 60 to Mombasa? Angalia alichosaini juzi !
Haitunyimi usingizi nyinyi endeleeni na tabia zenyu za kischana mwisho wa siku tutaona nani anasema na kutenda
 
Afadhali sasa arudi zake Dar akatulie na kuendelea kuwatesa wadanganyika wenzie, maana hii ziara yake ya Uganda imekuwa zero kabisa. Kiingereza chake kibovu na kauli zake tata zimeharibu kabisa ziara yake.

Sasa ndio nimeamini kuwa, urais alisukumiziwa, hakuandaliwa, hakujiandaa na hakufaa.

Wewe ndiyo pumbavu kweli yaani kazi kubwa aliyoifanya ya kuweka jiwe la msingi la bomba la mafuta kufufua reli ya upande wa Uganda na pia kuzindua ujenzi wa OSBP wewe umekuja kuona kiingereza tu.

kwani Magufuli ni muingereza mpaka ajue kiingereza!!?

Mbona Putin Merkel Ping wote hawa hawajui kiingereza lkn wanafanya vizuri. usiwe na colonial hangover. ni upumbavu na kukosa exposure.

Ukome kutuletea habari za hizbu na makojani hapa.

Acha ule matusi maana hamna namna sasa.
 
Afadhali sasa arudi zake Dar akatulie na kuendelea kuwatesa wadanganyika wenzie, maana hii ziara yake ya Uganda imekuwa zero kabisa. Kiingereza chake kibovu na kauli zake tata zimeharibu kabisa ziara yake.

Sasa ndio nimeamini kuwa, urais alisukumiziwa, hakuandaliwa, hakujiandaa na hakufaa.
Kwahiyo wewe kwenye akili yako robo kwenye ziara umeona lugha tu.? Pipeline? Uganda to use our port? Etc hayo hujayaona?

Unataka serikali 8?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom