President Magufuli basic characteristics of conscience

daida

Member
Oct 30, 2017
19
5
•Rais ana inner power which warns,condemns,praises, sasa ni marais wangapi waliwahi kusema kuwa kwenye mavyama yetu kuna majizi,hata kama yapo SSM au cdm,jiulize mkurugenzi anaulizwa hesabu ya fedha wala hata hajui fedha za mradi,
•Conscience associated with duty and obligation, tumeona kagera kijana kapewa fedha za mradi na kuruhusiwa watu wasiondolewe kwenye mtoto watu wapige kazi,
•conscience tells you what to and what not to do.tuliona ziara yake kagera anawaambia watu wasijenge ziwani na wameandaa mabango makubwa sana ,huyu no mtu ,
•the right use of reason(intelligence)hapa anauliza waliokuwa wanafunga mikataba ya madini walikuwa wanahama nchi?now how could young people be active conscience for magufuri?

•lazima tukubali kuwa magufuri anafanya kazi ya ethics,do you think solidarity will one day change truth into falsehood,? hakuna ubishi magufuri kahangaika kuibeba ccm,na hii ni serikali yake,
 
Hiko cha habari hata wale wahuni ambao wamekuwa wasemaji wa serikali hutawaona hapa.
 
Good crap
 
Back
Top Bottom