President Magufuli as your Government moves to Dodoma, please don't forget cultural heritage Museums

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
32,497
2,000
Dear President Magufuli can u do something like this in Dodoma? This is Senegal's Museum of Black CivilizationMay be a structure like this will host our stolen priceless trophies laying in Museums in Berlin and attracting revenues to other countries!
And again we need a Makonde Museum for art collection including Tingatinga paint from this tribe! see Makonde Art Museum in Japan

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,015
2,000
Dear JPM can u do something like this in Dodoma? This is a Museum in Senegal's Museum of Black CivilizationMay be a structure like this will host our stolen priceless trophies laying in Museums in Berlin and attracting revenues to other countries!

And again we need a Makonde Museum see Makonde Art Museum in Japan

Pumba hii..takataka kabisa hii thread..

Mwambie jpm afunge borders na azuie flights kutoka nje for at least 30 days..

Hili ndio la MUHIMU kwa sasa.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,049
2,000
Dear President Magufuli can u do something like this in Dodoma? This is a Museum in Senegal's Museum of Black CivilizationMay be a structure like this will host our stolen priceless trophies laying in Museums in Berlin and attracting revenues to other countries!And again we need a Makonde Museum see Makonde Art Museum in Japan

Raisi ambaye hanaga 'national strategic plan'..... beyond ya kujenga barabara flyover madaraja ni JPM hawezi kuelewa hilo kwamba ni muhimu kwa taifa kuliko kujenga kivuko cha Ubungo........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
32,497
2,000
Raisi ambaye hanaga 'national strategic plan'..... beyond ya kujenga barabara flyover madaraja ni JPM hawezi kuelewa hilo kwamba ni muhimu kwa taifa kuliko kujenga kivuko cha Ubungo........

Sent using Jamii Forums mobile app

Ati unasema Museum ni muhimu kuliko flyovers na madaraja? Sijamwambia aache kujenga barabara nimemuomba aliangalie hili pia! Ujinga peleka kuleeee!
 
Warue

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
384
1,000
Dear President Magufuli can u do something like this in Dodoma? This is a Museum in Senegal's Museum of Black CivilizationMay be a structure like this will host our stolen priceless trophies laying in Museums in Berlin and attracting revenues to other countries!And again we need a Makonde Museum see Makonde Art Museum in Japan

Many thanks for this big idea, We have been thinking of this idea for a year now. Can we join hands for a proposal for the establishment of a museum in Dodoma??. Thanks
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
2,879
2,000
Wengine hawahitaji hata vipimo,maneno yake tu unajua tayari keshaathirika Corona, ni kama huyu anaedhani tubakie na kuongelea Corona pekee
 
kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,812
2,000
This government belongs to Tanzanians its not Magu's ...that's first.
Secondly the issue of museums is not his responsibility as a president you should know where to direct your opinions
I see it very strange as you think of very little things beside all big problems faces us as a nation. Again lots of idiots congratulate you for this poor little cheap idea that you have!!! No wonder Tz is one of the poorest nation though reach in resources and very calm situation (not peace though)
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,903
2,000
Ati unasema Museum ni muhimu kuliko flyovers na madaraja? Sijamwambia aache kujenga barabara nimemuomba aliangalie hili pia! Ujinga peleka kuleeee!

..wazo lako ni zuri na mimi naliunga mkono.

..lakini katika utawala huu hutakiwi kutoa ushauri, unatakiwa uunge mkono maono ya bwana mkubwa.

..ukitoa ushauri ktk jambo tofauti na kile anachofanya bwana mkubwa, utachukuliwa kuwa unampinga.

..sasa kwasababu hili ni wazo lako, na halijaasisiwa na bwana mkubwa, tegemea matusi na kejeli toka kwa vijana na mashabiki wa ccm.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom