President Kagame of Rwanda slams BBC

Tatizo letu hatujijui kuwa sisi ni matokeo ya udongo wa nchini kwetu, kwa maana hiyo sisi ni chombo cha nchi, Kama sisi ni kifaa basi kati yetu kifaa kikiwa kinafanya vizuri Sana Basi tukitumie mpaka kinachakaa kwelikweli.
 
Huyo anaweza kusema na kufanya chochote anachotaka na hakuna wa kumfanya kitu, anaogopwa kama Myahudi, anajua mengi sana ndo maana anatisha Muzungu na anasikilizwa.
Kwa kifupi Kagame ni Myahudi mweusi, gusa unase.
 
Back
Top Bottom