President Jakaya Kikwete sends Congratulatory Message to Pope Benedict XVI

sasa cha kushangaza mbona kamtumia Membe kutoa ujumbe badala ya ikulu kama tulivyozoea siku zote. He is smart to avoid muslim contradictions
 
Kama mkatoliki, sielewi inauguration ya pontificate inahusika vipi na serikali ya Tanzania? Title ya thread inasema salamu zimetolewa na rais wa Tanzania, lakini mwisho wa ujumbe naona imesa-iniwa na Wizara ya mambo ya ndani! Membe alishatoa salamu za namna hii huko nyuma? Kuna nini hapa? Hawa wanasiasa hawana mipaka?

Halafu watu wa mambo ya nje hawajui ni John Paul II na sio ii?

Mkuu rudia kusoma maneno haya hapa chini...
On behalf of the Government and
the people of the United Republic of
Tanzania, and on my own behalf.....
ki diplomasia maneno ya namna hiyo hayawezi kupelekwa kwa mkuu wa nchi na waziri.Ni mkuu wa nchi ndiye humpelekea mkuu wa nchi mwenzake. So Rais Kikwete ndiye aliyempelekea (Rais)Benedict XVI. Membe na wizara yake ni mdomo tu wa kufikisha ujumbe wa Rais kwa 'Rais' mwenzake. Hayo mengine kwakuwa mimi sio mkatoliki siwezi kuyasemea acha nijifunze kwa wenzangu
 
issued by:
ministry of foreign affairs and international cooperation,
dar es salaam.
22[sup]nd[/sup] october, 2012

Mkuu Zomba rudia kusoma maneno haya
hapa chini...
On behalf of the Government
and
the people of the United
Republic of
Tanzania, and on my own
behalf.....
ki diplomasia maneno ya namna
hiyo hayawezi kupelekwa kwa mkuu
wa nchi na waziri.Ni mkuu wa nchi
ndiye humpelekea mkuu wa nchi
mwenzake. So Rais Kikwete ndiye
aliyempelekea (Rais)Benedict XVI.
Membe na wizara yake ni mdomo tu
wa kufikisha ujumbe
 
issued by:
ministry of foreign affairs and international cooperation,
dar es salaam.
22[SUP]nd[/SUP] october, 2012
Yeah, sehemu nyingi tu matamko yanakuwa issued na Public Relation Office, pamoja na kwamba ndio linakuwa tamko la Organization
 
Wale wadini na waseme sasa! Hiyo red imekaa vizuri sana; whether you like or not Vatican a.k.a Holy See is a country of its own right and one of the UN member states. Tanzania ina-enjoy kuwa na mashirikiano na Vatican kama ilivyo na mashirikiano na nchi nyingine yoyote mwanachama wa UN zikiwamo Iran na Saudi Arabia.

Wale puppets wa OIC hebu tujuzeni mnataka Tanzania iwe mwanachama wa OIC kwa vigezo vipi maana hoja yenu dhaifu imekuwa ubalozi wa Vatican.

Vatican sio Member wa UN. Ni permanent observer
 
Yeah, sehemu nyingi tu matamko yanakuwa issued na Public Relation Office, pamoja na kwamba ndio linakuwa tamko la Organization

Inahusiana nini na Wizara? kwani ni lazima kuandika hata usichokijuwa?
 
Mkuu Zomba rudia kusoma maneno haya
hapa chini...

ki diplomasia maneno ya namna
hiyo hayawezi kupelekwa kwa mkuu
wa nchi na waziri.Ni mkuu wa nchi
ndiye humpelekea mkuu wa nchi
mwenzake. So Rais Kikwete ndiye
aliyempelekea (Rais)Benedict XVI.
Membe na wizara yake ni mdomo tu
wa kufikisha ujumbe

Tatizo ni nini hapo? kuna ajabu ipi Rais wa nchi kutuma salaam? au Wizara zake zikafanya hivyo?
 
Rais kafanya vyema ile ni nchi kama zilivyo nchi nyingine na pope ni mkuu wa nchi.....

Amefanya nini labda hujaelewa hiyo lugha na barua ilivyo na iweje barua iwe na anwani ya Wizara. Au itifaki yetu inataka rais apitishe barua (u.f.s) kwa Waziri wa Mambo ya Nje? Sijui ni maendeleo ya itifaki au ndiyo tunapiga hatua nyuma?
 
nani kaandika barua ya kipuuzi namna hii???.....hakujua anaandika nini!!!...
 
Pamoja na upuuzi wa barua hii naliona tatizo kubwa miongoni mwetu kuhusu fikra dhidi ya udini. Nimejifunza mengi! Hatuko salama.
 
Source jf
Thank's

Ikulu imechemka ilivyoandika pongezi kwa Papa Benedict XVI kwenda Vatican
Kwanza niwashukuru walioleta thread ya Ikulu ikionyesha barua iliyoandikwa kwenda Vatican kumpongeza Pope Benedict kwa kile Ikulu yetu ilichokiita {Inauguration of the Pontificate of His Holiness Pope John Paul II}.

Thread yenyewe iko humu kwenye link hii:{Homily for Inauguration of Pontificate, John Paul II, 22 October 1978}.

Ilikuwa nichangie kwenye thread ileile lakini kama ukisoma utaona tayari imeshafika page ya pili na hakuna hadi sasa ambaye ameshaona technical mistake na hivyo uchangiaji umejikita kana kwamba kila kitu kiko sawa. Na kwa kweli asiyejua anaweza kuna ni sawa.

Lakini kwa tunaojua binafsi kwanza nimeshtushwa na headline. Baada ya kushtushwa na headline nikashawishika nisome details zaidi nikiamini nilichokiona nitakuta kimerekebishwa ndani ya maelezo, ukizingatia juzi tu kuna Waziri kachemka na thead yake inaendelea alipoutangazia ulimwengu kwamba Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Pemba.

Tuachane na kosa hilo la Waziri sasa tujikite kwenye kosa la Ikulu yetu.

Narudia, baada ya kusoma barua yote kwenda vatican kwa Papa, nikaridhika kabisa haya ni makosa yanayostahili kurekebishwa, na JF kumejaa wataalamu wa kuona makosa na kurekebisha. Je, kosa ni nini hapa kwenye barua hii?

Kulijua kosa inabidi kwanza tunanze kujua terms za Kanisa Katoliki. neno Pontificate linatumika kwa mambo yanayofanyw ana askofu lakini liktajwa peke yake basi linamaanisha Askofu wa Roma yaani Papa.

Hivyo "Pontificate" ni utawala wa Papa. Kwa kiingereza tungesema ni "reign". Pontificate ni kipindi chote cha huyo mtu kuwa Papa yaani tangu siku aliposimikwa kuwa Askofu wa Roma hadi atakapofariki au ku-resign.

Tunajua kwamba Papa huchaguliwa na mkutano wa makardinali uitwao "Conclave". Lakini Papa kama askofu wa jimbo lolote haishii kuchaguliwa tu, bali siku yake ya kwanza ya uaskofu wa askofu au upapa wa Papa (Pontificate) ni siku ile anapokaa kwenye kile kiti cha askofu kwenye Kanisa kuu liitwalo "Cathedral".

Narudia hii ni kwa kila askofu wa Kanisa Katoliki duniani akiwemo Papa. Hivyo "Pontificate" yaani siku ya kwanza ya utawala wa Papa yoyote huanza siku hii.

Narudi kwenye mshangao wangu, ni kwamba niliposoma ungedhani kuwa kuna Papa mpya ambaye upapa wake umeanza (Pontificate) na hivyo Ikulu yetu imetuma salamu za pongezi kwa kuanza upapa huo yaani {Inauguration of the Pontificate}.

Kibaya zaidi pametamkwa {Inauguration of the Pontificate of His Holiness Pope John Paul II}, ambapo kwa kiswahili sahihi ni {kuanza kwa Upapa wa John Paul II}.

Haikutakiwa kuandikwa hivi. Je, kilitakiwa ni nini?

Kilichotakiwa ni kuchunguza kwanza ni nini kinaendelea kabla ya kuandika. Kinachoendelea ni kumbukumbu ya kilichotokea miaka 34 yaani Jumapili, October 22, 1978.

Hii ndiyo siku John Paul II alipouanza upapa wake kwa kuendesha misa na kukali kile kiti {Cathedral} kilichomo kwenye Kanisa Kuu lake ambalo linaitwa {Archbasilica of St. John Lateran}. Najua baadhi, na ikibidi wengi wanaishia kulijua lile {St. Peter's Basilica}.

Lakini Kanisa hasa la upapa ni hili {St. Peter's Basilica} kama pale D'Salaam lilivyo kanisa la St. Joseph}.

Sasa, kilichotokea wiki hii pale Vatican, kinahusiana na mchakato wa kumtangaza John Paul II awe mtakatifu kwani yeye sasa tayari kikanis ayuko hatua kubwa zaidi kuliko ilivyo kwa Julius Nyerere kwa mchakato huohuo. John Paul II sasa yeye anaitwa "Beata" yaani "Mwenyeheri". Amebakiza ngazi moja tu kutangazwa mtakatifu.

Kutangazwa mtakatifu au mwenyeheri ni hatua moja inayoambatana na kuwekwa kwa siku maalumu ya kumkumbuka mtakatifu huyo. Watakatifu wengi hasa mashahidi wa dini siku yao huwekwa kuwa ni ile waliyokufa kama wale mashahidi wa Uganda. Lakini baadhi si lazima iwe siku hiyo.

Pope JOhn II alitangazwa mwaka jana kuwa "Beata", na hivyo kukawa na debate kuwa je, siku yake iwe lini. Ndipo kabla ya kumtangaza Vatican ikaamua kwamba siku yake iwe ni siku alipouanza upapa wake yaani October 22.

Hivyo, October 22, ni maalum kwa Beata John Paul II kama ilivyo siku ya mtakatifu au mwenyeheri yoyote unayemjua.

Hivyo, kilichofanyia juzi, zutio wake wa kwanza kabisa ni makanisa duniani kuadhimisha kwa mara ya pili siku ya Mwenyeheri John Paul II.

Lakini tukio hili limegongana na mambo kadhaa ambako maaskofu wengi akiwemo Polycarp Pengo wako Vatican kwa shughuli iliyoanza wiki mbili zilizopita iitwayo Synod. Hivyo, hilo limeongeza populality ya jambo hili kuonekana ni special kwa kiasi fulani.

Haishangazi kuwepo kwa meseji ionyeshayo {Inauguration of the Pontificate}. Lakini kama umeshasoma hadi hapa utakuwa umeelewa ni kwamba Vatican haina mpango wa kusherehekea siku ya Papa ambaye tayari ameshakua lakini cha msingi dunia kukumbushwa siku ya "Uenyeheri" wake na ikitokea akatangazwa utakatifu itakuwa ni siku ya "Utakatifu" wake kuadhimishwa makanisani.

Sasa, barua ya Ikulu ambayo imetolewa na Wizara ya mambo ya nje inaonyesha kama kwamba ni uzinduzi wa Upapa, tena wa Papa aliyekwisha kufa.

Nafahamu Salva Rweyemam ni mkatoliki lakini nafahamu Bernard Membe si tu kwamba ni mkatoliki tu bali alipita seminari na meseji kama hii angeweza kugundua hiki ninachoeleza.

Nawatakia usomaji mwema.​

Last edited by Nikupateje; Today at 02:52.​
 
[/QUOTE

mkuu, asante kwa udadavuzi wako, kutuwezesha kungaumau "uzuzu" wa serikali.....!
Ila kwa upande mwingine, imenipa jibu na kuniacha na ulakini, katika moja ya sehemu ya ibada ya katoliki kunasehemu wanamtaja papa kama sehemu ya mtakatifu wakati anakua bado. Ngoja niendelee kufanya tathimi ntapata jibu kamili.
 
Back
Top Bottom