TzPride
JF-Expert Member
- Nov 2, 2006
- 2,616
- 1,169
Jamani ninayo feelings mbaya kwamba huyu rais wa mchakachuo ataifikisha nchi pabaya hii miaka mitano. Sijui kwa nini najisikia vibaya hivi! Huyu jamaa ataacha nchi iko kweli hali mbaya ya ubaguzi wa kidini, ufisadi wa kufa mtu, makumdi ndani ya CCM na ukandamizwaji wa vyama vya siasa hasa CHADEMA.
Naanza kumchukia mwenyewe kama yeye.....Mungu nisaidie...I have a bad feeling on Chakachuo President.
Naanza kumchukia mwenyewe kama yeye.....Mungu nisaidie...I have a bad feeling on Chakachuo President.