President Benjamin Mkapa Urges Religious Organizations to Take Active Role in Fighting HIV/AIDS in Tanzania

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,820
287,886
au kaa kimya kabisa...Watanzania hawataki kusikia chochote toka kwa fisadi. There are so many allegations against you ...unless you're ready to face Tanzanians and give us your explanation of what took place during your presidency...it is better to keep quiet. Umeshastaafu... we don't like to hear again from you!

Mkapa urges religion to control HIV/AIDS
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Thursday,October 25, 2007 @00:04

FORMER President Benjamin Mkapa has underscored the need for religious organisations to play an active role in the fight against HIV/AIDS in the country.

Launching a campaign dubbed: Jihad ya Nafsi, Pambana na Ukimwi in Dar es Salaam yesterday, Mr Mkapa warned that unless concerted efforts were made by all parties, the pandemic would seriously affect growth of the national economy.

HIV/AIDS presents both physical and spiritual challenges to us and that is why the government and religious bodies must work closely together to try and tame the pandemic, said Mr Mkapa.

The campaign is a brainchild of a city based non profit company -- Rahman Social Development Network (RSDN). The nationwide campaign aims to complement government efforts to tame the spread of the disease.

Mr Mkapa appealed for public support towards the national HIV/AIDS voluntary testing campaign launched by President Jakaya Kikwete in July this year.

We need to join hands to support this campaign as it translates directly to cooperation between the government and other sectors, said the former President.

According to available statistics, seven out of every 100 tested people in the country are infected with the disease.
 
tangu wiki iliyopita anajitahidi kujiweka kwenye public eye sana.. mara kachangia hivi mara vile na nyie ngojeni mtaona atakavyotafuta kujijengea jina jipya..
 
Huyu inabidi sasa aanze na yeye kuzomewa na si kupigiwa makofi...hapo ndio anaweza kuona umuhimu wa ku-address tuhuma...

Mwanakijiji...that's what I'm talking about. Wenye wivu waache wakose usingizi...
 
tangu wiki iliyopita anajitahidi kujiweka kwenye public eye sana.. mara kachangia hivi mara vile na nyie ngojeni mtaona atakavyotafuta kujijengea jina jipya..
Kuna haja ya kumfanyia kampeni huyu na kumwambia kama hataki kujibu tuhuma nzito dhidi yake ya yale aliyoyafanya akiwa Ikulu basi Watanzania hawataki kusikia toka kwake. Pia na waandishi wa habari wanaweza kabisa kususia kuandika habari zozote zinazomuhusu mpaka ajibu tuhuma hizo.
 
ISije kufikia naye akamwagiwa mchanga kama Makamba na Tambwe. Tusubiri tuone.
 
Fikra za kinguruwe hazitatufikisha pema peponi. Yeye hajalazimisha media wala public kumsikiliza au kumzungumza. Kama tunavyoamini sote kuwa wapo wanaomzungumza kwa ubaya, vivyo hivyo inatupasa kuamini kuwa wapo wanaomzungumza kwa mazuri.

Lakini mbona tunakosa hekima, ukimwi ni siasa jamani? Nani kasema ukimwi unaua wasio mafisadi tu?? Lakini pia iweje muone ninyi JF au wanahabari tu ndio mnaotueleza ukweli na kujipa wasifu wa kuhukumu wengine, kwani Ben anagombea cheo gani hapa nchini kwa sasa? Sidhani kuwa Ngoma ndio impatie umaarufu, he is already famous, hahitaji makofi wala mchanga.

Msiwachanganye wabongo kwa agenda zenu za kufunika kombe mwanaharamu apite, nchi iko tete inahitaji jitihada za dhati itengamae, sasa baadala ya kumsaidia muungwana kwa udhati mnajifanya kumpekecha Ben kwa hoja za kipuuzi, sasa mkipewa ANBEN, Kiwira n.k ndio Tanzania itagomboka? Umaskini wetu haukuja kwa dharura, kukosa ujasiri ktk nia ya kuwa wajasiriamali, South Africa ni ushahidi wa uzuzu wetu, sasa amekuja mwanaume kuonyesha njia, imekuwa taabu kila mwana JF, Chadema, CCM-chipolopolo oooh mwizi mwizi, na sisi sasa tutangaze kuwa stori yenu dhidi Ben inapauka, tafuteni mwingine.

Tusiwe wavivu wa kufikiri na kuadhimia mbele kama kweli tunataka maendeleo.
 
Fikra za kinguruwe hazitatufikisha pema peponi.Yeye hajalazimisha media wala public kumsikiliza au kumzungumza. Kama tunavyoamini sote kuwa wapo wanaomzungumza kwa ubaya vivyo hivyo inatupasa kuamini kuwa wapo wanaomzungumza kwa mazuri.

Lakini mbona tunakosa hekima,Ukimwi ni siasa jamani? Nani kasema ukimwi unaua wasio mafisadi tu?? Lakini pia iweje muone ninyi JF au wanahabari tu ndio mnaotueleza ukweli na kujipa wasifu wa kuhukumu wengine,kwani Ben anagombea cheo gani hapa nchini kwa sasa? Sidhani kuwa Ngoma ndio impatie umaarufu,he is already famous,hahitaji makofi wala mchanga.

Msiwachanganye wabongo kwa agenda zenu za kufunika kombe mwanaharamu apite,nchi iko tete inahitaji jitihada za dhati itengamae ,sasa baadala ya kumsaidia muungwana kwa udhati mnajifanya kumpekecha Ben kwa ,hoja za kipuuzi,sasa mkipewa ANBEN,Kiwira n.k ndio Tanzania itagomboka??? Umaskini wetu haukuja kwa dharura,kukosa ujasiri ktk nia ya kuwa wajasiriamali,south africa ni ushahidi wa uzuzu wetu,sasa amekuja mwanaume kuonyesha njia ,imekuwa taabu kila mwana JF,Chadema,CCM-chipolopolo oooh mwizi mwizi,na sisi sasa tutangaze kuwa stori yenu dhidi Ben inapauka,tafuteni mwingine.

Tusiwe wavivu wa kufikiri na kuadhimia mbele kama kweli tunataka maendeleo.

Dear Ngombo, I'm greatly concerned kuhusu utumishi wako kwa wale waliokutuma ujaribu kufanya spinning hapa JF. While we very well know kwamba JF na wanachama wake hatuna agenda za siri na wala hatupo blindly biased, kinachotufanya tuendelee kuingia ndani ya forum hii na kuendelea kuchangia hoja ni kutaka kujua ukweli kuhusu masuala yanayoihusu nchi yetu.

Kuhusu Bw. Mkapa, zipo taarifa nyingi ambazo bado hatjapata nafasi ya kuzithibitishwa ambazo inaaminika kwamba zina vielelezo na ushahidi mkubwa na wakutosha ambazo zinaelezea vitendo vya kifisadi, ubinafsi na ukiukwaji wa maadili ya uongozi (urais) ambayo huyu Bw. Mkapa alivifanya wakati alipokuwa Rais wa Tanzania.

Sasa ombi letu na la watanzania wengi ni kwamba, kama Bw. Mkapa anasingiziwa, then tunamuomba sio tu atueleze watanzania ule ukweli ulivyo, bali pia tutamhimiza na kumsihi awashitaki wale wote wanaomsakama kwa hizi tuhuma (Thisday, Dr. Slaa et al) kwa lengo la kulinda heshima yake. Na kama hatafanya hivyo, then ukimya wake na worst of all kiburi na defiance yake katika kujibu hizi tuhuma inapelekea sisi ndani ya JF na watanzania wote kwa ujumla tuamini kwamba huyu Mkapa alihusika na hizi tuhuma. Anda if that is true then HATUTAKI KUMSIKIA HATA AKICHANGIA FEDHA KWA WENYE NJAA AU KUONGELEA KUHUSU UKIMWI kwa sababu kwa kufanya hivyo ANAKUWA NI MNAFIKI (Which we all know he is)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom