"PRENAP" hapa kwetu Tanzania inawezekana?

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Jamani wandugu,

Mimi mimi ni mwananchi wa kawaida, naomba kuuliza hiki kitu wanaita "Prenap" wenzetu kwetu inaweza kufanyika hapa Tanzania?

Prenuptial agreement, meaning before you take vows. It states in advance what each person will give to the other or not give in case of divorce. Mostly wealthy people have them, but if you want to protect your assets (car, jewelry etc) you can have one drawn up anyway
 
Kwa elewa wangu mdogo ni kwamba Prenup agreement ni makubaliano yanayowekwa na wenza kabla ya ndoa juu ya hatma za mali zao pale ndoa itakapovunjika.

Sheria ya ndoa ipo kimya kwenye suala la Prenup or pre marital agreement.

Kuna hoja kwamba kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya Tanzania ndoa ni muunganiko unaopaswa kudumu kwahiyo kuweka hichi kipengele ni kielelezo tosha kinachoonesha kwamba muunganiko huo hautadumu.
Kwa mtazamo wangu sidhani kama hoja hii ina mashiko kwasababu mosi, mkataba unaingiwa haujainisha muda ila umetoa muongozo pale mahakama itakapotoa talaka.
Swali langu ni kwamba kama talaka inatambuliwa na mahakama kwanini wanaotalakiana wasipewe uhuru wa kuamua ni jinsi gani mali zao zigawanywe?
na muda sahihi wa kuamua zigaiwe vipi ni kabla ya mkataba wa ndoa.

Kujibu swali lako ni kwamba sheria ipo kimya na nimaamini kuwa silence means haina kipingamizi.
 
Back
Top Bottom