sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Wanajamii, mimi nilisoma na Premmy Kibanga pale Institute of Journalism and Mass Communications mwaka 2000 yeye akiwa anachukuwa post graduate in Journalism...
Huyu dada hivi sasa ni mwandishi wa Habari wa Rais lakini nionavyo mimi ni kwamba kazi ile alipewa kwa upendeleo hakustahili.
Wakati tupo chuoni alikuwa akimpigia simu mukulu wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa... alikuwa akituambia ngoja niongee na huyu malaya halafu anaweka simu yake kwenye loud speaker...
Wanajamvi sikuamini macho yangu maneno yaliyokuwa yanatoka mdomoni kwa mukulu.... Impression niliyoipata ni kwamba walikuwa marafiki.
Sasa swali: Je, hiyo sio nepotism?