Premio 2005 or rav4 2003

Difo

Senior Member
Mar 29, 2011
111
169
Wakuu kuna hizi gar mbili
Premio 2005 odo 55000km tsh 13 no
Na rav4 2003 103000km tsh 15
Tofauti ya bei ni 2mil.
Ipi ya kuchukua hapo
Ushauri wenu ni muhim sana hasa wenye uzoefu na hizo gar yajwa hapo juu
 
Hello, you can not compare station wagon with sedan. Rav 4 is the best ever in terms of clearance from the ground as well as comfortability and durability. Thanks
 
wengine tuna determine kwa rangi na UZURI wa nje si unajua watoto wa mjini wanapenda wallpaper weka PICHA
 
Back
Top Bottom