Precission air kama amjui maana ya call centre-binafsisheni kitengo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Unajua sio lazima ufanye kila kitu peke yako ,kuna vitnengo mnaweza kubinafsisha mkawapa malengo na kuhakikisha
tatizo lolote litakalolalamikiwa unatimua tena unaweka kwenye mkataba
hiki kitengo cha call cnt kimekuwa shida sana sana jamani sijui kwa nini,,kama uamini nenda pale airport jifanye unapiga simu alafu uone wale madada wanavyoangalia simu na kuidharau tena ukiwa karibu unasikia analalamika hawa wanafikiri muda wote tunapokea simu....
Sasa hawa wanapigiwa simu kupewa abiria wawe na uhakika wa mshahara wanakata sismu jamani hawa mabinti mnawaajiri
wa nini ama ndio kujuana ama kuvua skt upate kazimwisho anajibinafsisha kitengo..sio sawa
wakuu wa precission embu angalien hili;tushazoea kwa wahuni naita wahuni maana awabadiliki hata mabosi wao wako sawa na wao hawa tigo na voda cs

kama mko na akili abiria ndio wenye k uwapa hela ya mshahara wa mwisho wa mwezi hizo jeuri zenu zitakata siku si nyingi kampuni tatu zimeomba usajili moja ishasajiliwa inaanza august 31 natumaini kampuni yenu ikiona wahuni wamejazana itafika muda wa kuamua kuwapunguza mkawabanie sauti ama kuwakatia simu shemeji zetu muone kama hata watawakaribia mjue kumbe kazi ndio inayofanya nipendwe ...

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom