Precision Air na Sekeseke ya Dr Rwaitama


M

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
756
Likes
381
Points
80
M

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
756 381 80
Juzi nimepanda ndege ya precisionair.Nilifurahi kuona kile alichokuwa akadai Dr Rwaitama kuhusu kutokuwepo maelekezo ya jinsi ya kufungua mlango wa dharura kwa kiswahili limefanyiwa kazi.
Dr. Anastahili pongezi kubwa kwani aliona mbali akadai mabadiliko.Alitukanwa sana magazetini eti mlevi,hajui sheria za ndege zinatambua kiingereza tuu.wengine hata kumwona mashamba na mkorofi.
Matunda yake kusimama kidete sasa tumeyaona.
Funzo mabadiliko huanza na wachache wakujitoa kwa faida ya wengi.
 

Forum statistics

Threads 1,237,736
Members 475,675
Posts 29,298,981