Precision air Kilimajaro aiport kwa nini ni nyinyi ndio wenye matatizo tu.

Mimi.

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,117
3,040
Wadau naomba niwataadhalishe muendapo Arusha au Moshi kwa Presicion air(ni KIA tu ndio wenye haya matatizo na si viwanja vingine) muwe makini wakati mnarudi safari yenu ,pale KIA wahudumu wa Precision wamekua na mchezo mchafu sana. Ya kuuza ticket mara mbili imagine You arrive at the airport, ready to leave on a trip that you planned long ago. But the flight is overbooked and you are denied boarding.utajisikiaje?sometimes,watu wanaenda kuunganisha ndege dar wanaenda nchi nyingine kwa upambavu wa na tamaa za Presicion they miss their connections.Morally, I view the practice of overbooking flights as a contractual and institutionalized fraud

Precision airways pale KIA often sell more seats than they have available on a plane, expecting a few cancellations or no-shows. But if all the scheduled passengers arrive, the airline has to scramble.wanakwambia subili ndege ya saa tisa while ulitakiwa na ndege ya asubui saa moja

Precision air I am so much disapointe ,mnajimaliza kibiashara subirini Fast jet ije muone kama watu watapanda hayo mangalangala yenu

Mwakyembe tunaomba uwakee sheria hawa jamaa watoe compensation to Affected passengers ,
 
duuu,hyo ni njaaa au?,so sad mkuu,that's not wasup,asante kwa taarifa,naendelea kuwafuatilia ikibidi niwafutie leseni yao kwa root ya huko
 
duuu,hyo ni njaaa au?,so sad mkuu,that's not wasup,asante kwa taarifa,naendelea kuwafuatilia ikibidi niwafutie leseni yao kwa root ya huko


Utakua umesaidia sana mkuu wanatunyanyasa abiria
 
Duh flight overbooking that is totaly Fraud!!imeshawahi kunitokea Twice,I will never fly precision airline again to anywea from KIA and will spread the word to every friend
 
Sio KIA tuu,juzi mwanza walitufanyia kitu mbaya sana,yani ningekua na uwezo ningewachapa makonde hawa mafala,walitukalisha masaa 5 usiku watu tuko na watoto wadogo hawana hata huruma.precision mwisho wenu unakuja.
 
Usijali mkuu, fast jet iko angani, precision wasipojirekebisha watabakia kiporo cha Jana kisicholika

Kweli kabisa ulichosema mkuu precision upande wa KIA wanauza Ticket moja mara mbili
 
na wabongo nao wawe basi wanakua on time na sio ku cancel kila wakati kwa sababu wabongo tunawajua they r never on time wana cancel ticket last minute na of coz ile ni biashara inabidi ijilipe na kujiendesha kwa faida
 
walidomonite market, they abused there dominant position
sasa wajiandae kukalia kuti kavu.
ndio hsara hiyo ya kuabuse market uzuri kampuni za ndege hawatakiwi kuungana ili kupanga bei
kwa hivo kila kampuni ina ruhusa ya kupanga bei waitakayo na hakuna atakaelalamika
hii ni kwa manufaa ya sisi wateja.
 
Back
Top Bottom