Precision Air: Dar Mwanza sh. 150,000 kwenda na kurudi+kodi Zote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision Air: Dar Mwanza sh. 150,000 kwenda na kurudi+kodi Zote!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Idimi, Mar 14, 2011.

 1. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana jamvi,
  Kwa mujibu wa tangazo la Precisionair walilotoa katika gazeti la Nipashe la tarehe 10/03/2011, ukurasa wa kwanza, nauli za Dar Mwanza ni shilingi 100,000 (laki moja) kwa ndege zao, kwenda na kurudi pamoja na kodi. Ila pembeni wameandika "Masharti na Vigezo Kuzingatiwa". Sijajua masharti yao ni yapi.
  Je mliosafiri na PA kwa wiki jana kwenda na kurudi Mwanza, hii ndo nauli yao mpya kweli kama ilivyotangazwa?
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kwa kawaida ni kwa viti vichache,e.g viti 10 tu,so wale watakaowahi kupata ndo wanalipa hiyo laki 1.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Mh, kuna mtu atapanda basi kweli? Hivi mafita ya ndege yenyewe hayapandi bei?
   
 4. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Alas!
  Kumbe hivyo ndio 'vigezo na masharti'? Wizi mtupu, na hivyo kumi ukute wamewekea ndugu na jamaa zao
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  umejuaje
  hivyo viti vinauzwa na wauza tkt.ukifika wankwambia vimeshauzwa hasa wale mabinti wa airport..baada ya muda ukijifanya kuondoka wanakufwata vijana fulan wanakwambia umekosa siti..ukiwaeleza wanakwambia subiri kwenye hiyo 100,000 wanaongeza 25,000-30,000..wizi mtupu panden 540 kwa raha zao....na gudnyuzi kuna kampuni ya jet link kutoka kenya imeshasajiliwa dar inaanza april mwanzon ama mwishon inaleta f28-3 mbili kwa mwanza jro,na nyingine kwa kigooma tabora.....tunaitaj kuwa na kampuni nyingi kupunguza uhuni wa bei kama tunaenda loliondo
   
 6. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Asante kwa habari hizo njema man. Inatakiwa kampuni ziwe nyingi ili zishindane na zipunguze bei, kama ilivyo kwa kampuni za simu!
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,932
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Hivi gharama ya ndege za kawaida kama hizo za PA inaweza kufika shilingi ngapi mpaka kuiweka 'angani'?
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Yanapanda ila ni kama bei ya mafuta ya taa tu
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ulilonena ni la maana sana kwanza 540 wana ndege nzuri sana kuliko PA na huduma bomba mno, ila wamezidi kupiga vimini wale wahudumu wao
   
 10. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa wametuibia muda mrefu na wamechaigia kuifisadi ATCL ili wabaki peke yao, labda kwa bei hii wataturudishia ka-faida kidogo.
   
 11. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Haaa! eti bomba? Hawa presicion Air ndege yao moja ya kwenda Nairobi nilipanda ndiyo nzuri walau wanaushirikiano na KQ lakini kwa hapa Tanzania ndege za PA......samahani '''worse"" siku moja iliwahi kurudi DSM mara tatu na ndani inapaa na engineer. ni mbovu waletye mpya wasituitie hofu kwa kushusha gharama zao tu.
   
 12. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #12
  Mar 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  540 ndio mpango mzima
   
 13. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hayo makanyaboya ya PA hayafai, utadhani hulipi au umepanda la JW!

  540 ndo nzuri kwa sasa ingawa huduma za Local flight TZ bado kabisa, kuna ubwanyenye mwingi sana.

  But this is a big opportunity for opportunists, the problem ukianzisha huduma ya usafiri wa ndege, utapigwa vita hadi ukimbie kama Community Airline ilivyohujumiwa.
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  kwa kweli huyu waziri tunampongeza sana ana malengo mazuri pengine wachche waamchukia..ilipokuja kusajiliwa nilihusika kukimbizana na process kama kawaida wale jamaa zetu wakaanza kuzungusha huku kule tukapata mzee mmoja alietumwa na bwana mh waziri akaamuru wapewe kibali maramoja
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  si ndio maana mnajaa ukujua sababu
   
 16. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo neno!
  Si ndo biashara yenyewe? Mambo ya customer care!
   
 17. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ho 540 mnaowatetea mimi sijaona unafuu wowote.
  Wanatangaza bei ya ticket go and Return 200,000/ lakini hawaweki wazi kuwa hiyo bei bila kodi.
  ukija kujumlisha na kodi. Loh!
  Community air ndio ilikuwa poa.
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Mimi niliwahi kusafiria kwa Tsh 98,000 one way ilikuwa promo,
   
 19. M

  Maimai Senior Member

  #19
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  where the competition bites. Hawa jamaa hawajakaa sawa kimahesabu kwani wameshindwa hata kulist share zao DSE kutokana na madeni.. this is the "HOT COMPANY" tukae chonjo.. ina madeni kibao na KQ walitaka kununua ATCL kuiua kabisa:embarassed2:
   
 20. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kama una maana kuinunua ndege hiyo si gharama ni bei. Gharama ni za uendeshaji wa ndege (nikiwa na maana ya kuihudumia ndege na siyo kuwa rubani).
   
Loading...