precision air customer service

reginahope

Senior Member
Mar 26, 2013
163
30
habarini wanajf. kuna mwenye taarifa zozote khs nafasi za customer service zilizotangazwa na precision air kama wameanza kuita? natanguliza shukrani zangu
 
mi nataka ile kazi ya kuwa nasafiri na abiria kwenye ndege sijui zimetangazwa?

Kigezo kikubwa wanachoangaliaga kwenye hiyo nafasi ni urefu na sura mwanana na usiwe bantu sana. Portability matters. tehe tehe....
Kama vigezo hivyo tajwa unavyo walau unaweza kujiweka nafasi nzuri. Mengine yanayoendelea huko ndani mi sijui kwa kweli. Ukikutana na HR bazazi ujue.....................
 
duh basi tena
 
mh ni kweli au kuwekana roho juu juu? kwanin wasingeviweka hivo vigezo kwenye tangazo lao ili tusiapply kabisa?
 
Kigezo kikubwa wanachoangaliaga kwenye hiyo nafasi ni urefu na sura mwanana na usiwe bantu sana. Portability matters. tehe tehe....
Kama vigezo hivyo tajwa unavyo walau unaweza kujiweka nafasi nzuri. Mengine yanayoendelea huko ndani mi sijui kwa kweli. Ukikutana na HR bazazi ujue.....................

hekimatele umesahau Sauti aisee. Dah., hiki.cha muhimu sana. Sio muhudumu anatangaza abiria wafunge mikanda then lisauti linatoka kwenye PA kama zombie :faint:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom