reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
habarini wanajf. kuna mwenye taarifa zozote khs nafasi za customer service zilizotangazwa na precision air kama wameanza kuita? natanguliza shukrani zangu

mi nataka ile kazi ya kuwa nasafiri na abiria kwenye ndege sijui zimetangazwa?
Kigezo kikubwa wanachoangaliaga kwenye hiyo nafasi ni urefu na sura mwanana na usiwe bantu sana. Portability matters. tehe tehe....
Kama vigezo hivyo tajwa unavyo walau unaweza kujiweka nafasi nzuri. Mengine yanayoendelea huko ndani mi sijui kwa kweli. Ukikutana na HR bazazi ujue.....................

mh ni kweli au kuwekana roho juu juu? kwanin wasingeviweka hivo vigezo kwenye tangazo lao ili tusiapply kabisa?
endelea tu kutuma tu..habarini wanajf. kuna mwenye taarifa zozote khs nafasi za customer service zilizotangazwa na precision air kama wameanza kuita? natanguliza shukrani zangu
duh basi tena
Kigezo kikubwa wanachoangaliaga kwenye hiyo nafasi ni urefu na sura mwanana na usiwe bantu sana. Portability matters. tehe tehe....
Kama vigezo hivyo tajwa unavyo walau unaweza kujiweka nafasi nzuri. Mengine yanayoendelea huko ndani mi sijui kwa kweli. Ukikutana na HR bazazi ujue.....................
Inamaana umeenda Opposite na.vigezo vya Hiring Managers? Mweh.. Ngoja ninunue lane: nitakuajiri uwe Muhudumu..
ukinunua mie nitakuendeshaInamaana umeenda Opposite na.vigezo vya Hiring Managers? Mweh.. Ngoja ninunue lane: nitakuajiri uwe Muhudumu..
hekimatele umesahau Sauti aisee. Dah., hiki.cha muhimu sana. Sio muhudumu anatangaza abiria wafunge mikanda then lisauti linatoka kwenye PA kama zombie :faint: