Precision Air choka mbaya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision Air choka mbaya!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mutensa, Dec 20, 2009.

 1. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Niko airport sasa inakimbilia saa moja jioni. Mkononi mwangu nina boarding pass ya airline maarufu ya Precision. Take off time ilitakiwa kuwa saa 11.30 jioni. Ina maana sasa ni masaa karibu mawili hatujajua tunaondoka saa ngapi huku boarding pass zimeandikwa "gate closes at 1700hrs". Jamani nitakuwa nakosea nikisema precision air wamechoka???
  Above all, hakuna taarifa zozote, we are just waiting and waiting and waiting!! Kweli tuna safari ndefu.
  PRECISION KAMA MNASOMA HII MITANDAO JIREKEBISHENI. Pia mnapochelewesha watu wape taarifa - INFORMATION IS POWER!
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,560
  Likes Received: 18,289
  Trophy Points: 280
  Pole Mutensa, usijali sana, ilikuwa uboard flight number PW 0715 kwenda Nairobi kupitia Zanzibar. Ndege ilikuw iondoke 17:30. Mimi nilikuwa hapo hapo airport nikisubiri ndege hiyo hiyo kuja Zanzibar.

  Hauitendei haki Presicion kudai haukutangaziwa, mbona wametoa tangazo kuwaomba abiria wa Nairobi msubiri kwanza na wakasema ndege hiyo itapeleka kwanza abiria wa Zanzibar ndipo iwarudie nyie wa Nairobi?. Ina maana tangazo hilo hukulisikia?.

  Dar-Znz its 10 min flight, saa hizi ndege ilisharudi zamani na namini mmeshaboard kwenda Nairobi. Pamoja na tatizo hili, ndio kisa kuiita choka mbaya?.

  Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na matatizo yao yote, jamaa wanajitahidi sana.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,471
  Trophy Points: 280

  Sawa sawa mkuu, mi nilivoona hiyo heading nikajua ndo ndege mbili tatu zimekuwa grounded, kumbe wamecheleweshwa tu kidogo!
   
 4. I

  Inviolata Member

  #4
  Dec 20, 2009
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,560
  Likes Received: 18,289
  Trophy Points: 280
  Jamaa walichelewa tuu na saa hizi naamini walisharuka zamani. Kuchelewa pia ni tatizo, japo hawakusema, ndege iliyokuwa turuke nayo ndiyo ilichewa hivyo wakabadili ndege fasta fasta, wakati tumeshaboard, ndipo hilo degelao kubwa la jet engene likaingia, kwa vile walishasplit abiria, wakaona si busara klivurumishia jet lao Nairobi for only a handful of people hivyo nao wakapanda hivyo vi ATR vyao.
   
 6. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2009
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Pasco mbona unawatetea kwa uzembe?

  Au nawe ni mdau wa PA?
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,471
  Trophy Points: 280

  Mi nadhani anaongelea uzoefu kabisa wa alichoona
   
 8. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  ..ni kweli maneno makali, na labda hajakusanya taarifa za kutosha kiasi cha kuiita airline choka mbaya. Kuchelewa kwa ndege ninavyoelewa kunatokea mara nyingi tu, na wakati mwingine hata cancellation ya safari kutokana na sababu kadha wa kadha. Hata hivyo sina lengo la kuwatetea Precision, siwajui, na wala sijawahi panda ndege zao, lakini ukweli ni kwamba hata ukipanda swiss air, KLM mara kibao wanachelewa na mara nyingine radhi mnaombwa mkishaboard tayari, huenda baada ya masaa hata ma3, na mara nyingine kulazimika kupelekwa hotelini. Ni bora kuestablish chanzo cha kuchelewa, je kama ndege ilikuwa na hitilafu waruke ili kukidhi matakwa ya muda?. Hata hivyo ushauri kwa airline ni kuwa na system nzuri ya kutoa habari kwa abiria ikitokea tatizo.
  Tatizo la mizigo kuchelewa nalo linatokea kwa airline nyingi, na mara nyingine unasubiri siku kadhaa na wanakuletea kwenye address yako. Haya yote yanaweza yakaipelekea airline kuitwa choka mbaya, kama yanatokea kila siku au kila mara. Otherwise, tuwatendee haki, ni vigumu kuoperate kwa ufanisi ule ule kila siku hata mashirika makubwa duniani yameshindwa kufanya hivyo. Tuwape ushauri wa kuweza kuridhisha wateja wao. Hata hivyo hawako immune kwenye kukosolewa si wako kwenye biashara?
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,560
  Likes Received: 18,289
  Trophy Points: 280
  Yes ni mdau wao kwa kutumia ndege zao for local flight na sio kimaslahi.

  Sitetei uzembe bali walitoa tangazo na msamaha waliomba.

  Kuna siku nilisafiri na Swissair toka Rome kurudi Bongo. Tulitakiwa kupanda Alitalia mpaka Zurich ndipo tuconnect na Swissair. Tulikaa airport 8 good
  hours no flight, no explanation!. Tena afadhali tungekuwa siye walalahoi pekeyetu, sio neno, kumbe miongoni mwa abiria wa 1st Class, alikuwepo Makamo wa Rais, Dr. shein, naye ilibidi asubiri masaa hayo hayo nane!. Leo kuchelewa saa 2 tuu ndio 'choka mbaya'! Ingekuwa saa 8 or total canceletion si ingeandikwa 'kwishney' kufa kabisa!?.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Sasa airline gani iko sawa Tanzania? ATC wanatembeza watu mpaka usiku wa manane siku hizi kwasababu ya kuahirisha flying time. Rushwa na ukosefu wa uwajibikaji ndio unatuletea yanayoendelea sasa hivi
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Presicion msipoangalia mtaua jina lenu soon nami nilikaa kia last 2 weeks kwa masaa 5....tangu saa 1 hadi 5 uck...ndio tukaondoka kuja dar!!
   
 12. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  chuki binafsi, kwanini hatupendi vya wajasirimali wenzetu? Hii Precisionair ikifa utasafiri wewe na ndege zenye usalama hapo Tanzania? au ndo zile campaigns za uchafuzi ili uingize Antononov yako? Kuna moja inaenda zanzibar naingoja tu ibumuke maana for sure wahusika wameifumbia macho!
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ..usiutetee uzembe kwa kutoa mfano wa uzembe mwingine.
  Sisi tunapaswa kuboresha operations zetu kwani kama tukiwa wazembe at a start hatufiki mbali.
  Halafu umasikini wa fikra unawasumbua sana PA kwani humo ndani ya ndege zau utakuta merchandise zote ni Kenya Airways eti kisa ni partners.
  unaweza kuexplain hili?
   
 14. g

  geek Member

  #14
  Dec 21, 2009
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PW wanajitahidi - ingawa there's room for improvement in terms of punctuality and quality of services. Having said that hakuna airline isiyokuwa na delays, ni jambo la kawaida. Lipi jema, mpandishwe ndege mbovu au upate three hour delay?

  Nimekuja na BA juzi kulikuwa na delay ya one kutoka Dar, kufika London mizigo ya maelfu ya abiria ikapotea. Zungumzieni mgonjwa ATCL, siyo PW.
   
 15. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu BA wana ndege inayochukua maelfu ya abiria?, mbona hapo kidogo umenichanganya?, ina maana mlitoka dar zaidi ya watu elfu mbili ndege moja(maelfu ya abiria)
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,560
  Likes Received: 18,289
  Trophy Points: 280
  Msanii, niliainisha tangu mwanzo sitetei uzembe, ila uwe ni uzembe kweli, lazima uestablish cause ya delay, kama ni bad weather ni uzembe wa nani?.
  Hili la merchandise zote kuwa za kenya sio kweli, kati ya bia zao nne wanazotoa, Safari, Kilimanjaro na Serengeti ni zetu, ya Kenya ni Tusker tuu. Vyakula vyote vyetu, bites pia zetu. Juice ndio Ceres na Del Monte ya Bondeni. Labda kama unaongelea inflight duty free shop yao, sio sisi wala sio kenya.
  Hili la kuesplain, mimi ni explain kama nani ili hali nami ni abiria tuu?.
   
 17. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 818
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hapo na shindwa kuelewa ndege gani ilichelewa hiyo Swiss or Alitali ? maan najua Swiss inaondoka Asubuhi Zurich sasa ina maana mlisubiri masaa nane hapo Zurich kwa kucheleweshwa na Swiss? ina mana mlifika Dar muda gani?

  Navyojua kama una connect na swiss na ukifika wakati ndege ya Swiss ya kuja TZ imesha ondoka lazima watawapa hotel , na nime pita sana na route hiyo mara nyingi ndege ya Swiss ya kuja TZ huwa ina cheleweshwa kusubiri Adiria wanaotoka Rome kumbe ndio hiyo Alitalia nadhani ina cchelewa , sasa nilitaka kujua yupi ana chelewa Alitalia or Swiss?
   
 18. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kaushauri!

  Let us have a scientific approach. Kuna mtu yeyote anayeweza kunipa takwimu tosha kuwa ni safari ngapi za PW zimeahirishwa na kwa kipindi cha muda gani ili tuwe na uhalali wa kuiita choka mbaya. The dead Air Tanzania ilipewa jina la Any time cancellation baada ya kuwepo na ushahidi ulioridhisha wengi kwamba hapakuwepo na uhakika wa kusafiri for almost every flight. The bad goods huwa zaishia kulinda duka but for this case nataka takwimu ili tuwatendee haki Precision Air. Kama hakuna then tujadili jambo lingine na sio tusker na juice!
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Precision iko bomba sana bana!

  Kama walichelewa hiyo siku ni discrepancy ndogo sana hiyo, na ya kawaida, wala siyo ishu ya kuikomalia kwenye thread!
  Mambo iko na ATCL bana...huko ndo kumelala uozo wa kufa!
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  precision wanajitahidi sana!ndani ya ndege vinywaji baridi kwa wingi.ule woga kwamba upo kwenye RISK YA KUFA ANYTIME HUWA UNANITOKA
   
Loading...