Precision Air amkeni mfanye kazi, KQ imepunguza safari TZ

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,580
4,262
Kwa mawazo yangu
Precision Air hufanya vizuri sana kwa wateja wengi wanaokwenda ofisini kwao moja kwa moja ku book safari PIA
Huduma za mizigo iliyopotea/chelewa mnafanya vizuri

TATIZO LENU;,
kwa wateja wa mashirika ambao hutumia zaidi simu na emails, huduma zenu ni mbovu naweza kusema ni wastani wa 45% efficient. Hii inakatisha tamaa na mnapoteza soko kubwa sana.

Ushauri wangu ili muweze kuitumia nafasi hii vizuri;
1. Wekeni dedicated people kupokea simu na emails. Hapo kwenu simu ni kero kubwa sana kwani hazipokelewi. Fanyeni utafiti kwa mashirika mtajua hili.

2. Jitahidi msibadilishe badilishe muda au ku cancel safari kwa ajili tu ya kujaza ndege???; hii ni usumbufu mkubwa na hufanya watu wafikirie alternative flight na hivyo kuwaacha. LAKINI, for the sake of business, ni bora kusafirisha ujazo wa robo ya Abiria kwenye ndege ili mjenge jina na kumaintain wateja na sio kucancel. Hakuna Biashara duniani ambayo unaweza kuifanya kwa 100% profit muda wote; haipo!!!

Kwa ndege ndogo kama Caravan (12pax), huwa wanasema ikipata abiria angalau wawili (full paying clients) wanaweza kurusha ndege kwa kufidia gharama tu bila faida. Sijui kama nyie mmejiwekea marginal ya abiria wangapi; kwani bila hivyo, hamuwezi kukaa sokoni. Competition is very tough!!









k
 
kama umefuatilia Precision wameongeza frequencies kwenda NAIROBI baada ya KQ kupunguziwa idadi ya kutua nchini so kufa kufaana.
 
precision si imefilisika. ? Mara ya mwisho walikuwa wanauza ndege zao mbovu
 
Back
Top Bottom