Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,045
- 20,408
Mpaka Mungu atapowapenda watesi wa Membe, wapo na majina wanafahamika
Tick ya bluú iko wapi? Acha kulazimisha...Hapana siyo fake account, iko verified
Wewe ni kiazi..
Account umekazana ni verified wakati hata nembo ya verified haina... yawezekana ya fatma nayo ni account feki au naye ni ķiazi kama wewe...
Huyo aliyejibu namdi azikiwe sio fatuma ingawa ana profile ya fatumaNi kauli ya Membe halisi,
Ni account yake ambayo iko verified ndiyo maana Fatuma Karume kaijibu meseji yake
Leo katika hali ya kushtusha, Waziri wa Zamani wa nje na uhusiano wa kimataifa ameonyesha kuguswa na tahadhari aliyopewa kwenye mtandao baada ya kupewa taarifa kuwa kuna njama za kumdhuru katika safari yake ya kurudi Lindi.
Membe ambaye ni verified user wa mtandao huo wa Twitter aliujibu ujumbe huo kwa kutoa shukurani nyingi sana ambaye yeye aliita "kutonywa"
Kauli hiyo ya Membe ikajibiwa pia na Mwanasheria na mtoto wa Raisi mstaafu wa Zanzibar, Fatuma Karume "Shangazi"
Mwanasheria huyo akaandika kuwa kama Mti mkavu unatendewa hivi Je Mti mkavu?
Binafsi mimi kama raia nimeshtushwa na tukio hili na hili linaonyesha sisi kama nchi tumefikia hatua gani katika usalama wa wananchi. JE HII HALI YA HOFU NCHINI ITAENDELEA MPAKA LINI
Hapa Chini ni Kauli ya Membe akimjibu mwananchi huyo aliyempa taarifa kupitia kwenye mtandao wa Twitter
View attachment 1195160
View attachment 1195159
Sio verified, acha ujinga wewe...haiwezekani waziri mkubwa tena wa zamani wa wizara nyeti mwenye marafiki na washiriki wa nje awê na account ambayo sio verified.Nenda katembelee account ya Membe ya twitter ndo utajua
Twitter nzima iko account hiyo moja tu yenye jina hilo, na inatumiwa na Membe [Kama hujui hili basi wewe ni mgeni wa twitter]
Membe ana akaunti mbili mkuuNenda katembelee account ya Membe ya twitter ndo utajua
Twitter nzima iko account hiyo moja tu yenye jina hilo, na inatumiwa na Membe [Kama hujui hili basi wewe ni mgeni wa twitter]
Bernard K. Membe (@BenMembe) | Twitter
Les tout derniers Tweets de Bernard K. Membe (@BenMembe). Former Foreign Affair Minister of Tanzania from 2007 to 2015. Private Citizen. Dar es Salaam, Tanzaniatwitter.com
Hakuna shida kuniita hivyoUjinga ni kipaji chako mkuu..
Nmekuwekea zote ya fatuma karume aka shangazi na ya namdi azikiwe ambaye sio shangaziProfile huwa zinakuwa edited any time
Kabla hujakanusha, Hebu tembelea account yoyote ya Fatuma Karume na Membe unayoijua kisha weka link yake hapa
Hizi account ni halisi hakuna ufeki hapo
It seems watumaiaji wengi wa JF ni wageni kwenye matumizi ya Twitter
Hakuna shida kuniita hivyo
Weye mwenye akili hongera
Sijui hata umeelewa nachoongea maana nipo upande wako kumwambia mleta mada hyo akaunt haipo verified
Okay hakuna shida
Hana tofauti kabisa na kima huyu kaka,Huna akili wewe
Are you serious Mkuu???!! Unafahamu 'Verified' Account ikoje Twitter???!!!Ni kauli ya Membe halisi,
Ni account yake ambayo iko verified ndiyo maana Fatuma Karume kaijibu meseji yake
Verified account au parody hiyo? Huyo unaemuita ni mtoto Karume ndio huyo shoo? Pumbavu huna akili
Eti Mh. Membe anaamini maneno ya #Kigogo? Hii huwa inanifanya nijiulize hawa jamaa waliwezaje kufika level hii ya utumishi? kama sio kujitekenya na kucheka basi miaka yote waliyotumikia taifa ili haikuwapa exposure yoyote.
Huu ujinga wa kuamini elimu ya darasani ndio kila kitu, inatuumiza sana watanzania!View attachment 1195170
Hapana siyo fake account, iko verified
Je hii picha ni halisiNi kauli ya Membe halisi,
Ni account yake ambayo iko verified ndiyo maana Fatuma Karume kaijibu meseji yake