G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,335
- 5,184
uchaguzi umekaribia kila mtu atatumia njia ya kujipa kick...
That's why foreign trips to you is a big headache.
Nafikiri ujumbe kufika ndo jambo muhimu zaidi.Haujui English Language, grammatical errors kibao.
Nafikiri ujumbe kufika ndo jambo muhimu zaidi.
Kwani lisu aliuawa? Alionywa tuKaka haya maisha ya mtu yapo hatarini, tafadhali usilete siasa kwenye uhai wa mtu
Lissu alionya mapema kuwa anafuatiliwa tukapuuza, unaona kilichomtokea?
Eti Mh. Membe anaamini maneno ya #Kigogo? Hii huwa inanifanya nijiulize hawa jamaa waliwezaje kufika level hii ya utumishi? kama sio kujitengenya na kucheka basi miaka yote waliyotumikia taifa ili haikuwapa exposure yoyote.
Huu ujinga wa kuamini elimu ya darasani ndio kila kitu, inatuumiza sana watanzania!
Fake account
Membe amestaafu siasa wacheni kumlisha maneno
Na Beni.Kaka haya maisha ya mtu yapo hatarini, tafadhali usilete siasa kwenye uhai wa mtu
Lissu alionya mapema kuwa anafuatiliwa tukapuuza, unaona kilichomtokea?
Wewe ni kiazi..Ni kauli ya Membe halisi,
Ni account yake ambayo iko verified ndiyo maana Fatuma Karume kaijibu meseji yake
Sasa yule anayesali karibu na Dstv huwa anenda sali nini?