Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Today a former Tanzania foreign affairs minister Bernard Membe was given precaution over his trip to Lindi , that unknown men were meticulously hunting him and one of his loyal guard accepted ransom amount to sell him out. The picture of the unknown men special car will follow later. Let us pray for our beloved and God be with him over all evil plan against him.
 
Mkuu Chifu Kabi Kula, hizi ni tweets za jana za kigogo, wewe unazileta leo na kusema ni leo, wakati bandiko kuhusu onyo hili limeishapanda humu jf kitambo!.
Mode please do the needful.
P
 
Leo katika hali ya kushtusha, Waziri wa Zamani wa nje na uhusiano wa kimataifa ameonyesha kuguswa na tahadhari aliyopewa kwenye mtandao baada ya kupewa taarifa kuwa kuna njama za kumdhuru katika safari yake ya kurudi Lindi.
Membe ambaye ni user wa mtandao huo wa Twitter aliujibu ujumbe huo kwa kutoa shukurani nyingi sana ambaye yeye aliita "kutonywa"

Kauli hiyo ya Membe ikajibiwa pia na Mwanasheria na mtoto wa Raisi mstaafu wa Zanzibar, Fatuma Karume "Shangazi"
Mwanasheria huyo akaandika kuwa kama Mti mkavu unatendewa hivi Je Mti mkavu?

Binafsi mimi kama raia nimeshtushwa na tukio hili na hili linaonyesha sisi kama nchi tumefikia hatua gani katika usalama wa wananchi. JE HII HALI YA HOFU NCHINI ITAENDELEA MPAKA LINI

Hapa Chini ni Kauli ya Membe akimjibu mwananchi huyo aliyempa taarifa kupitia kwenye mtandao wa Twitter

Kigogo2014 Asante Kigogo kwa kunitonya. Ni kweli kabisa kuwa safari ya kwenda Lindi imefanyika jana saa 2 usiku. Gari No.T413 CEP ni gari la TISS- (PSU.) Kiongozi wake ameondolewa na kupelekwa kitengo cha madawa ya kulevya.Nina details zote! NIGUSWE..!

1567349133564.png

1567349028963.png

IMG_20190901_183409.jpg
 
Back
Top Bottom