Elections 2010 Pre-Summary ya Dr Slaa kampeni!!

Mhh wimbo safi sana...... Naupenda mno na unaenda na hii video...

[video=facebook;443609306888]http://www.facebook.com/video/video.php?v=443609306888&oid=135719259797667[/video]
 
Jamani mwenye kila maombi aombe ili Dr ashinde! maana tunahitaji

  1. kujenga kwa gharama nafuu,
  2. kusomesha watoto wetu bure
  3. ........
 
Acha up**zi, elimu ni gharama who will be paying for that cost?

We ***** kabisa, nani kakudanganya? Kikwete au Salma?
Umaskini wa kufikiri ndo unakusumbua. Haushughulishi ubongo wako kutafuta ukweli ndo maana unasema hayo. Acha uvivu wa kufikiri
 
We ***** kabisa, nani kakudanganya? Kikwete au Salma?
Umaskini wa kufikiri ndo unakusumbua. Haushughulishi ubongo wako kutafuta ukweli ndo maana unasema hayo. Acha uvivu wa kufikiri

Hujajibu swali, nani atalipia hiyo gharama ya elimu??????

Na vile vile musilinganishe ya enzi za Msekwa na Kikwete, katika miaka ileeeee wasomi walikuwa wangapi hapa Tz na sasa hivi wasomi wanaohitaji kuwa na angalau degree moja wako wangapi? Halafu ndiyo museme elimu bure itakuwepo.

Hapa kwenye forum tatizo mtu kama hawezi kujibu swali aliloulizwa anaanza kuleta hoja nyengine.
 
Hujajibu swali, nani atalipia hiyo gharama ya elimu????

Kama huwezi wewe mwenyewe kupata majibu ya swali rahisi kama hili, then i can assure u kwamba huna haki ya kuuliza maswali kwenye jamvi hili..... maana wewe ni mvivu wa kufikiri !!!
 
Hujajibu swali, nani atalipia hiyo gharama ya elimu??????

Na vile vile musilinganishe ya enzi za Msekwa na Kikwete, katika miaka ileeeee wasomi walikuwa wangapi hapa Tz na sasa hivi wasomi wanaohitaji kuwa na angalau degree moja wako wangapi? Halafu ndiyo museme elimu bure itakuwepo.

Hapa kwenye forum tatizo mtu kama hawezi kujibu swali aliloulizwa anaanza kuleta hoja nyengine.
Kama tuliweza zamani hujiulizi ule uwezo uliishia wapi hapa katikati nani aliumaliza kuna tatizo gani tanzania mbona nchi zingine zimeendelea kutoa elimu bure Rwanda Kenya nk. Problem si idadi ya degree ni mipango endelevu inayokosekana Bintimkongwe kuna nchi zina idadi kubwa ya watu na wenye degree lakini zinatoa elimu bure wao wanawezaje.
 
Dk Slaa ameeleza kila kitu kwenye kampeni zake kwamba pesa atazipata wapi.

Hata hivyo kwa ufupi tuu embu tafakari vyanzo hivi vya mapato vikidhibitiwa na ufanisi ukawepo.

1. Bandari ya Dar es Salaam.........Kuhudumia kwa ufanisi nchi za Uganda, Rwanda, Burund, DRC Congo, Zamba na Malawi.
2. Utalii.............. Uimarishe shirika letu la ndege halafu lilete watalii moja kwa moja toka ulaya, marekani, Uchina na kwengineko duniani.
3. Misitu................. Simamia magogo vizuri na usimamie pia uwindaji ili vitalu vitupe pesa ya maana.
4 Baraza kubwa la mawaziri........... Punguza mawaziri mpaka 15 au 20 maximum, utakuwa umepunguza L/Cruiser za 200m ngapi? mafuta, posho na gharama nyingine za kuhudumia wasaidizi wa mawaziri kama madereva, wafanyakazi wa ndani, nyumba, makatibu wakuu na manaibu wao, ofisi na vimada wao.
5. Ondoa ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya. ili uongeze mamlaka kwenye local goverment.
6. Dhibiti matumizi ya saerikali.......... Hakikisha mtu hapewi posho mara mbili kwa kikao kimoja,
7. Simamia vyema vyanzo vya mapato TRA, punguza kodi weka adhabu kali ili mtu aone kukwepa hakuna faida.
8. Bahari............ Hakikisha meli zote za kigeni zinazokuja kuvua samaki bila kibali zinathibitiwa. kama taifa, kesi kama ile iliyoko mahakamani maarufu kama kesi ya Magufuli inatakiwa ichukue siku kumi na nne tu hukumu kupatikana.
9 Hakikisha viwanda vya samaki vinawezeshwa ili samaki wasindikwe hapa hapa na kusafirishwa kama bidhaa na siyo mali ghafi.
10. Simamia vizuri utendaji wa halimashauri zetu, pesa zinazopelekwa hakikisha zinatumika kwenye miradi iliyokusudiwa, mkurugenzi mzembe aondolewe mara moja, wapewa KPI's na kishindwa anafukuzwa mara moja. Watanzania wenye uwezo wko kibao.

Haya ni machache, list ni ndefu sana kama unataka kuwa mkweli haya yako dhahiri, hayahitaji kuwa umeenda darasani kuelewa.

Respect.
 
Acha up**zi, elimu ni gharama who will be paying for that cost?

Who paid for yours in very expensive schools in Europe? Umezoea sana kuiba ndiyo maana umechanganyikiwa!
Na hayo mashule mnayoyaita Academy ambayo yote yanapatikana kwa wizi wa fedha za elimu, yatakosa soko, tuyataifishe yawe ya serikali.
Pole Paradiso yako imeingia moto..........anza kujifunza kuishi kwa mshahara kama sisi!
 
Kitakachofanyika ni kuhakikisha kuwa fedha zote zinazoporwa hivi sasa na MIBAKA-UCHUMI kwa njia za kifisadi zinaingia serikalini. Hii nchi ni tajiri sana, lakini utajii wote unashikiliwa na watu wasiozidi 50, na hasa raia wa kigeni wanaojifanya watanzania.
 
Hujajibu swali, nani atalipia hiyo gharama ya elimu??????

Na vile vile musilinganishe ya enzi za Msekwa na Kikwete, katika miaka ileeeee wasomi walikuwa wangapi hapa Tz na sasa hivi wasomi wanaohitaji kuwa na angalau degree moja wako wangapi? Halafu ndiyo museme elimu bure itakuwepo.

Hapa kwenye forum tatizo mtu kama hawezi kujibu swali aliloulizwa anaanza kuleta hoja nyengine.

Kwa kuzifuta kashfa zifuatazo:- Barrick Gold, Meremeta, EPA, Radar, Tangold, Tanzanite One, Ortello hunting expeditions, Kagoda, kiwira & Mkapa incorporated, haya ni baadhi tu ya maeneo ambayo Dr. Slaa atakamua fedha za kuendesha miradi yote ya kijamii iwe ni elimu, afya na mingineyo mingi
 
Back
Top Bottom