Pre :chekechea,primary school,form one ,high school,university wizi mpya wa karne

OMEGA

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
693
300
Hivi nani asiyejua kuwa darasa la saba maana yake ni pre secondary school,form four ni pre high school na form six ni pre university?sasa haya mashule wameanzisha matapeli kila mtaa eti pre kindergatten,pre form one ,pre universty etc maana yake ni nini na yanafundisha nini hasa? Mwenye idea na hizi kozi za pre sijui nini anijuze.Huko nyuma tukiwa wadogo miaka ya 47 chekechea tuliita prep yaani preparatory school,sasa huu utapeli wa prep za ukubwani wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom