Teamo kumbuka kile kicha cha mtu alikuwa anatembea ufukweni mwa bahari na mungu na alikuwa anaona alama za nyayo zake na za mungu wake.... baada ya muda akaanza kuona myayo za moja tu... Kisha akamuuliza eeeh bwana mbona umenitupa wakati huu wa shida nami nakutumainia wewe.. Bwana akamjibu my Son hizi foot print unazoziona ni za kwangu kwani niliona unataabika sana kwa jua, kiu na safari ndefu nikaamua kukubeba ili tufike wote salama.
Teamo Mungu amewabwba wewe na familia yako hakika mtafika salama kwe uwezo wake..... Tupo nanyi kwa sala na maombi
Teamo Mungu amewabwba wewe na familia yako hakika mtafika salama kwe uwezo wake..... Tupo nanyi kwa sala na maombi