Prayers Request: Teamo and his family

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,846
11,210
Friends ndani ya JF;

Nimepokea sms from Teamo kwamba mamsap wake amelazwa Lugalo hospital, wanategema mtoto anytime; the sms is a prayer request na nadhani we have lots of love and caring to each other na maombezi ni muhimu

Kwa wale tunaofuatilia jukwaa hili napia wana JF wengine Teamo alikuja na thread ya kuomba kupata jina la mtoto kwenye thread https://www.jamiiforums.com/mahusia...jina-zuri-la-a-babyboy.html?highlight=jina+la

yeye na mkewe walifunga ndoa mwaka huu na wengi wetu ndani ya JF tulishiriki kikamilifu kumsapoti kufaniksha ndoa hiyo

Tuungane kuombea familia na nina imani Teamo will come here to bring us the good news

Pamoja
 
Thanks Mkuu

natumai akipata muda atakuja kutujuza hapa ndani ya JF
 
Yupo katika maombi mungu atamlinda. 'Niiteni nami nitaitika nitafanya mambo ya ajabu' Teamo Ubarikiwe wewe na familia yako
 
Mungu atamtangulia na atajifungua salama, yupo katika sala zetu....can't wait to see the baby....teh teh teh
 
@preta... tuko pamoja... lets hope lile jina la G lipo palepale
 
Nakwenda magotini sasa hv kwaajili yake.
Mungu mwenyewd alibariki mpango wa wanadamu kuzaliana, na hivyo naamini atambariki sana mama huyu, pamoja na kiumbe ajaye.
Sote na tuimbe "TUMAINI LETU NI KWA BWANA KWA MAANA ANA UWEZO WA MILELE"
 
Mungu alisha watangulia mpaka kufikia hatua ya sasa...
na Mungu atazidi kuwa nao muda huu ambao wana muhitaji the most..
na Mungu atazidi kuwalinda maisha yao yote...
Prayer for the inter family....
 
Cousin tuko pamoja na hommie Teamo "TUMAINI LETU NI KWA BWANA KWA MAANA ANA UWEZO WA MILELE"
 
may god bless his wife,,,atapata kibaby mungu akipenda iombwayo ni kheri,,,i'm soooo happy!!!
 
Ee baba twaomba umjalie afya njema mama Teamo ajifungue salama! Can't wait to c my uncle!
 
All the best Teamo and family.....
Mungu awalinde na kuwa pamoja nanyi daima!!
 
Mwenyezi Mungu aliyempa mkewe tumbo la uzazi ,atampa uzazi ulio salama na wa baraka
Ni katika jina la yesu aliye hai Amen
 
Back
Top Bottom