Pr. Magembe una uhakika kuhusu bei ya tumbaku au umeropoka tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pr. Magembe una uhakika kuhusu bei ya tumbaku au umeropoka tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mbasajohn, Aug 1, 2011.

 1. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo n uzundiz wa sikukuu ya wakulima nane nane na nimemsikia wazir wa kilimo Pr. Magembe akidai kuwa pamoja na kushuka kwa bei ya tumbak kwenye soko la dunia lakn kushuka kwa thaman ya Sh n kama a sliver lining kwan wakulma bado wanapata pesa in sh kama au inayokaribiana na ile ya mwaka jana yaan karibu sh 3500.
  Najiulza kama Pr. Magembe ana uhakika na hlo maana huku mtaan n kati ya Tsh 2000 na kushuka chn, sasa cjui kama anamansha nn anaposema kuwa kushka kwa Tsh n a siliver lining.
   
Loading...