PPF mnachotufanyia ni uhuni usiovumilika

chanawaleti

Senior Member
Jul 4, 2016
176
209
PPF kwa nini mnatuzuia kujitoa kwenye fao lenu? Kama nilisimamishwa kazi halafu hamtaki kutoa hela zetu tulizokua kunakatwa na kuwekwa kwenye mfuko wenu mnategemea nini na nitaishi vipi huku nataka kujiajiri?

Mnasema hadi nifikie miaka 55, huu ni uhuni na SSRA nao wamekaa kimya tu. Kwanini?
 
Wapeleke mahakamani au nenda kwenye vyama wafanyakazi kuomba msaada
 
Mbona juzi hapa kwenye maonyesho ya sabasaba walikuwa wakijinadi kwamba member anaweza kujitoa muda wowote akitaka?
 
iyo ni Zuga mkuu juz nilienda pale ppf Morocco yaan Kuna kadada kapo reception kina dharau yaani kananiona mm ndiyo na 28 kananiambia mpaka nifikishe 55"hizi si dharau sasa
 
PPF kwa nini mnatuzuia kujitoa kwenye fao lenu? Kama nilisimamishwa kazi halafu hamtaki kutoa hela zetu tulizokua kunakatwa na kuwekwa kwenye mfuko wenu mnategemea nini na nitaishi vipi huku nataka kujiajiri?

Mnasema hadi nifikie miaka 55, huu ni uhuni na SSRA nao wamekaa kimya tu. Kwanini?
Hivi bado mchezo huu unaendelea wasitafute visa vya chinichini hawa hela ni za wafanyakazi sio zao kwani SSRA si wamesema watu wanaruhusiwa hao wana matatizo gani hii kesi naona sasa inatafuta mwenyewe .Acha watu wachukue fedha zao hio miaka 55 bakini nayo si hela za watu.
 
Mbona juzi hapa kwenye maonyesho ya sabasaba walikuwa wakijinadi kwamba member anaweza kujitoa muda wowote akitaka?
Hujawahi kujiuliza ni kwa nini tunakuwa masikini wakati nchi ina kila kichocheo cha utajiri!?
Tatizo kubwa ni wale wanaosema wasichoweza kutekeleza! Watu hawa kutoishi kwao ni bora kuliko kuishi kwao.
 
Kabisa mkuu yani watu wanaofanya kazi kwa bendera fuata upepo na mihemko si kitu kizuri kabisa wewe kweli kukaa kote shule miaka yote hiyo unakuja kufundishwa ufanyaje kazi kweli halafu tunapambana na umaskini kwa nguvu zetu zote.Nicheke mie maana sielewi tunakoelekea kwa usawa huu wa hapa kazi tu sielewi hiyo kazi itafanyikaje kwa ustaarabu huu wa kuhold fedha za walalahoi.Hii tukio limeniuma sana na limenikatisha tamaa ya kufanya kazi wakati namfanyia mtu mwingine azitumie atakavyo.Halafu wanadanganya watu mtaani shame on them.
 
Back
Top Bottom