Niliishatabiri kuwa miaka 5 itapita huyu msaniii namba moja magu hatakanyaga Mbeya kwa sababu hawamtaki kabisa kwa usanii wake tangu akiwa naibu na waziri kamili na kwa jinsi wanambeya wlivomzomea mpaka akaamua kusema "Peoples"watu wakaitikia "Power" ndipo akaruhusiwa kuendelea na safari yake
Sehemu zenye wasomi xxm hawawezi kutoboa ndo maana wanakazana kusema ccm ipo mpaka vijijini kwani muda ukifika wanawanunulia wanakijiji Pombe za kienyeii na pilau huku wakiwapa t-shirt za ccm kila baada ya miaka 5...?
SHAME ON U ccm??!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.