Power tillers ni mizigo kwa wakulima?

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
695
12
Mtoto wa mkulima kwa hili la kutumia matrekta ya Tafe na Kubota linaniingia akilini lakini hili la Power tiller aghaaaaaaa. Ki ukweli power tiller ni mzigo kwa wakulima kwani hili linafaa sana kwenye maeneo ambayo ni soaked land na sio yenye dry/hard land kama dodoma nk na pia si mazuri kwenye milima kama lushoto.

Cha kushangaza sasa
.
Wakurugenzi wa halmashauri wameyanunua bila kuomba ushauri wa maofisa kilimo wao wakisema ni agizo la waziri mkuu na bei ya power tiller moja ni kama tsh 5 mil ila limenunuliwa kwa 12mil na hizi halimashauri.

Matokeo yake sasa.
Wananchi wameshindwa kuyatumia baada ya kuona wenzao wanaoyatumia hayawasidii zaidi ya kuwaletea magonjwa kama kifua kikuu kutokana na vumbi na pia kuwanyong'onyeza kiafya kwani ili lilime linahitaji mkulima atumie nguvu nyingi, kama ukifika kwenye bohari au maeneo mengi ya ofisi za ujenzi Tanzania utayakuta haya matreka madogo yakiwa yamepark, ukiuliza utaambiwa kuwa wakulima hawaji kuyakopesha.

Maswali.
Je ilikuwa agizo toka kwa Waziri mkuu kuwa kila wilaya ni lazima inunue power tiller?
Je wataalamu wa kilimo na udongo walihusishwa kikamilifu kutoa ushauri wao kama power tiller zinunuliwe au la au wakurugenzi walinunua kisiasa zaidi?
Je azimio la kilimo kwanza litaleta mapinduzi ya kijani au litapindisha migongo wakulima?.

Ushauri.
Wataalamu wa kilimo wasikilizwe, serikali itenge hela ya kutosha uli kuweza kuagiza mbolea na matrekta kama kubota ambayo yana uwezo wa kulima hekta nyingi kwa siku bila kuadhili afya ya mkulima.
Swala la siasa lisiingie kwenye vitu muhimu kama kilimo nk.
Wakurugenzi waache nidhamu ya woga wafanye kazi kutokana na ushauri mzuri wa maofisa wao walio chini kama DALDO.
Waziri mkuu awachukulie hatua za kisheria wale wote ambao wamenunua mapoer tiller kwa bei za juu ikiwa hali bei zake si kubwa kivile kwani hapo kuna chembe chembe za rushwa na ufisadi.

Mwisho.
Haiwezekani kilimo kuwa kwanza kinadhalia tu, sio kivitendo wakati katika bajeti ya nchi kimepewa kipaumbele cha nne, ni vema kuwa makini kwa kila jambo sio kushika hili na lile baadae moja lazima lituponyoke tu.

Mkereketwa
 
Imekula kwetu, tumeibiwa tena na tutazidi kuibiwa tuuuu. Toka lini ukalina heka 20 kwa poer tiller? ukimaliza hapo lazima uende hospitali wakapakue udongo kwenye mapafu yako kama sio kifo kabisaaaa. Watanzania bado sana Pinda na yeye alikzania kabisa mie nikadhani anahimiza ulimaji wa bustani na power tiller kumbe mashamba hahahahahahahahahahahahaha
 
tokea lini Tanzania mtaalamu akahusishwa na maamuzi?! hawa maofisa mikoa na wilaya wao ni wataalamu wa kila kitu.

wengi wanaona kuomba ushauri ni kujidhalilisha. hii sio kwa afisa mkoa tu ni kwa watanzania wengi. ni janga la taifa hili
 
tokea lini Tanzania mtaalamu akahusishwa na maamuzi?! hawa maofisa mikoa na wilaya wao ni wataalamu wa kila kitu.

wengi wanaona kuomba ushauri ni kujidhalilisha. hii sio kwa afisa mkoa tu ni kwa watanzania wengi. ni janga la taifa hili

Mkuu sawa kabisa tatizo kubwa la Tanzania ni viongozi wa kisiasa na kiserikali kutowahusisha wataalamu wa fani mbali mbali ktk decision making.
 
mimi nikiiona power tiller nacheke sana kwa sababu kama tuliweza kununua ndege ya rais ikiwa haina engine ndio kwenye kilimo tutaona kitu? na bahati yetu tungezaliwa iraq na hawa viongozi wetu tungekula indemoni yetu.ka maoni yangu power tiler haina hadhi ya kuidhidi bei yeboyebo[pikipiki ya kichina]
 
By DAILY NEWS Reporters,
6th October 2010

SEVERAL farmers have expressed concern over the influx of sub-standard power tillers in the domestic market and appealed to the government to ban such import.

Farmers and traders interviewed in several regions by 'Daily News' claimed that China was the main source of sub-standard tractors and asked the government to swiftly redress the situation.


Farmers in Mbalali District in Mbeya Region said despite witnessing bumper harvest of paddy through the use of power tillers, they noted that some machines were not durable although their prices were comparatively cheap.


Chinese power tillers are sold at between 4m/- and 6m/- while Kubota power tillers go for between 9m/- and 11m/- depending on the package.


The Mbalali District Executive Director, Mr George Kagomba, said farmers should be careful when buying power tillers, pointing out that in some places, depending on the nature of the soil, more powerful machines were needed.


"It is true that farmers are complaining on some substandard power tillers and our council through extension officers are educating farmers on the need to use equipment of good quality.


"Some of the power tillers are now becoming liability to farmers," he noted. Mr Kagomba said the district has over 800 power tillers and 216 tractors. "With all those tractors and tillers, there was no need for the council to allocate funds to buy 50 power tillers as directed by the government.


Mr Paschal Nyange is an extension officer based in Kondoa district, Dodoma region and said that he felt sorry for farmers who bought ‘low-cost' power tillers only to regret later when the machines under-performed.


Ulanga District Executive Director in Morogoro Region, Mr Alfred Luanda, said his office had imported from China 55 power tillers currently awaiting verification by local experts. "It is necessary we seek technical advice before using the tillers.


This is the first time we have imported so many tillers," he said. The Managing Director of Farm Equip (Tanzania) Limited, Mr Hantarim Hegdekatte, admitted to have registered complaints from customers on durability of some power tillers.


However, he refrained taking any blame insisting that it was individual's discretion to receive supplies from China or elsewhere.


"Not all tractors from China are of poor quality. The 18-HP-Dongfeng type from China, for example, are durable and perform well on the field," Mr Hegdekatte clarified.
 
Hii imekaa ki biashara zaidi. Kama vile kubota inapigiwa debe.
 
Za india na Shimbo

samson-tractor1.jpg
 
Wapi naweza kupata power tillers ya kununua kwa ajil ya kilimo.Nitashukuru msaada wenu wa kupata contact details hasa za local
 
Cha bei ndogo ni gharama. Unanikumbusha hizi pikipiki mpya za shilingi milioni moja - zinawahangaisha wengi kwa matengenezo ya mara kwa mara yanayoanzia mwezi wa kwanza baada ya kununua!
 
Waungwana,
Ninaomba msaada. Kwa Tanzania wapi au kampuni gani wanauza power tillers? Nitashukuru ushirikiano wenu
 
Waungwana,
Ninaomba msaada. Kwa Tanzania wapi au kampuni gani wanauza power tillers? Nitashukuru ushirikiano wenu

Mkuu, haujagundua? Watu wengi wameignore post yako kwa sababu haiingii akilini mkulima umekosa sehemu wanauza power tiller!!!! ungeulizia bei labda. Wewe uko wapi hapa Tanzania? nenda mji wowote utakuta zimepangwa nje pamoja na mapikipiki au zana zingine za kilimo! Maduka mengi yanayouza pkpk wanauza power tiller!:mmph:
HUU UZEMBE WA KUGUGO MADUKANI JAMANI!:jaw:
 
Indeed it is Kubota from Siam Kubota. Now we are introducing more Kubota products into Tanzania. Rice transplanters, combine harvesters, tractors, riding tillers etc. All from Kubota. fact is Kubota is a good machine, we are fully behind the product with full warranty and after sales service and so today Kubota is teh highest selling power tillers in Tanzania. There is no politics in this.
By DAILY NEWS Reporters,
6th October 2010

SEVERAL farmers have expressed concern over the influx of sub-standard power tillers in the domestic market and appealed to the government to ban such import.

Farmers and traders interviewed in several regions by 'Daily News' claimed that China was the main source of sub-standard tractors and asked the government to swiftly redress the situation.


Farmers in Mbalali District in Mbeya Region said despite witnessing bumper harvest of paddy through the use of power tillers, they noted that some machines were not durable although their prices were comparatively cheap.


Chinese power tillers are sold at between 4m/- and 6m/- while Kubota power tillers go for between 9m/- and 11m/- depending on the package.


The Mbalali District Executive Director, Mr George Kagomba, said farmers should be careful when buying power tillers, pointing out that in some places, depending on the nature of the soil, more powerful machines were needed.


“It is true that farmers are complaining on some substandard power tillers and our council through extension officers are educating farmers on the need to use equipment of good quality.


"Some of the power tillers are now becoming liability to farmers,” he noted. Mr Kagomba said the district has over 800 power tillers and 216 tractors. "With all those tractors and tillers, there was no need for the council to allocate funds to buy 50 power tillers as directed by the government.


Mr Paschal Nyange is an extension officer based in Kondoa district, Dodoma region and said that he felt sorry for farmers who bought ‘low-cost’ power tillers only to regret later when the machines under-performed.


Ulanga District Executive Director in Morogoro Region, Mr Alfred Luanda, said his office had imported from China 55 power tillers currently awaiting verification by local experts. “It is necessary we seek technical advice before using the tillers.


This is the first time we have imported so many tillers," he said. The Managing Director of Farm Equip (Tanzania) Limited, Mr Hantarim Hegdekatte, admitted to have registered complaints from customers on durability of some power tillers.


However, he refrained taking any blame insisting that it was individual’s discretion to receive supplies from China or elsewhere.


“Not all tractors from China are of poor quality. The 18-HP-Dongfeng type from China, for example, are durable and perform well on the field,” Mr Hegdekatte clarified.
 
ndeed it is Kubota from Siam Kubota. Now we are introducing more kubota products into Tanzania. Rice transplanters, combine harvesters, tractors, riding tillers etc. All from Kubota. fact is Kubota is a good machine, we are fully behind teh product with full warranty and after sales service and so today Kubota is teh highest selling power tillers in Tanzania. There is no politics in this. contact +255 763 757249
 
ndeed it is Kubota from Siam Kubota. Now we are introducing more kubota products into Tanzania. Rice transplanters, combine harvesters, tractors, riding tillers etc. All from Kubota. fact is Kubota is a good machine, we are fully behind teh product with full warranty and after sales service and so today Kubota is teh highest selling power tillers in Tanzania. There is no politics in this.
 
Kuingiza power tiller nchini kwa msukumo wa kisiasa ni aina nyingine ya ufisadi.
Bei ya power tiller ni kubwa kulinganisha na tractor kubwa kiufanisi na siyo rahisi kurecover cost kwa mkulima mdogo.
Kinachotakiwa kufanywa na serikali kuwasidia wakulima ni kuingiza 4 wheel drive tractors zenye horse power kubwa na kuzisambaza vijijini kwa awamu kwa kutumia pesa hizo hizo za kununulia power tillers.
Bora kununua tractor kubwa mbili badala ya ya power tiller kumi na mbili kwenye eneo moja.
Mafisadi na agents wao walio serikalini wanatumia Kilimo kwanza kuwaibia wakulima wadogo kupitia mauzo ya power tillers.`
 
Back
Top Bottom