Power station(yenye kuhifadhi umeme kwa matumizi madogo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Power station(yenye kuhifadhi umeme kwa matumizi madogo)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Sep 29, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  *******************
  1.Battery gel battery: 12V / 7A
  2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
  Small voltage Sockets:
  a. 3 volt
  b. 4.5 volt
  c.-6 Volt
  d. 9 volt
  e. 12 volt
  3. Car Socket 12 volts / 10 Ah
  4. Schraubanschlusse 12 volt / l 5 Ah max. 2 min. Hii ni mashine ndogo ambayo inauwezo wa kuhifadhi umeme wa dharura kwa matumizi madogo.Matumizi yake ni kama kuweza ku-charge simu au laptop na hata pia inauwezo wa kuwasha taa vilevile lakini sio nyumba nzima ila kama ni chumba kimoja.Kwakuwa sio mtaalamu sana wa vitu hivi kwahiyo sina maelezo mengi sana lakini kwa hayo yataweza kufahamika.Nimeinunua uingereza na niliwahi kuitumia kwa kuijaribu mara moja tu na ilikaa kwa miaka miwili kwahiyo haina box lakini ni kizuri hakina tatizo.Naiuza pamoja na adaptor yake na ipo DAR na bei yake ni shs 120,000 na kwa mwenye kuhitaji tafadhali mpigie Habibu 0717810318. PowerCube.jpg 149150613_441d6c0051_o.jpg
   
 2. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Inakaa mda gani na charge
   
 3. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu ebu weka specification zake: power (KVA/Hp), frequency, Voltage, current n.k.
   
 4. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,650
  Likes Received: 3,299
  Trophy Points: 280
  Charge inadumu muda gani mkuu? Nimekapenda,nipo Arusha nitaipataje?
   
 5. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  1.Battery gel battery: 12V / 7A
  2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
  Small voltage Sockets:
  a. 3 volt
  b. 4.5 volt
  c.-6 Volt
  d. 9 volt
  e. 12 volt
  3. Car Socket 12 volts / 10 Ah
  4. Schraubanschlusse 12 volt / l 5 Ah max. 2 min.

  Mkuu nimejaribu kutafuta hii labda itasaidia ila hilo neno la mwisho ni la kijerumani nadhani sasa sijui maana yake,kwasababu siko nayo hiyo mashine nimemkabidhi mtu Dar.Lakini kukusafirishia Arusha mkuu wangu itakuwa ngumu kwangu au kwa urahisi zaidi ikiwa kama una mtu unamfahamu Dar basi mtumie hela kwa mpesa halafu akusafirishie ktk basi.
   
 6. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  1.Battery gel battery: 12V / 7A
  2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
  Small voltage Sockets:
  a. 3 volt
  b. 4.5 volt
  c.-6 Volt
  d. 9 volt
  e. 12 volt
  3. Car Socket 12 volts / 10 Ah
  4. Schraubanschlusse 12 volt / l 5 Ah max. 2 min.

  Mkuu nimejaribu kutafuta hii labda itasaidia ila hilo neno la mwisho ni la kijerumani nadhani sasa sijui maana yake,kwasababu siko nayo hiyo mashine nimemkabidhi mtu Dar
   
 7. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  1.Battery gel battery: 12V / 7A
  2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
  Small voltage Sockets:
  a. 3 volt
  b. 4.5 volt
  c.-6 Volt
  d. 9 volt
  e. 12 volt
  3. Car Socket 12 volts / 10 Ah
  4. Schraubanschlusse 12 volt / l 5 Ah max. 2 min.

  Mkuu nimejaribu kutafuta hii labda itasaidia ila hilo neno la mwisho ni la kijerumani nadhani sasa sijui maana yake,kwasababu siko nayo hiyo mashine nimemkabidhi mtu Dar
   
Loading...